Kwa mm niliepitia advance level na kwenda chuo naona Bora mtu apitie ordinary diploma then atajiendeleza kielimu akiwa kazini na pia kazi zinafanywa na ordinary diploma
But kama tunataka kuwaandaa wanasayansi nguli wa utafiti ni vizuri wakapitia advance coz unachimba mambo kwa undani sana
Una haraka sana kijana mm nilifanya mwezi wa pili mwaka Jana nikaitwa kuchukua barua ya kuitwa kazini mwezi wa nane na nikaitwa kuchukua barua ya kupangiwa kituo Cha kazi mwezi wa kumi na moja
Msichokijua ni wababe wawili yaan Simba na chui wameamua kukaa chini na kugawana mapori ili Kila mmoja ale pori lake mashariki ya kati na Amerika kusini zinaenda kuwa chini ya marekani na ulaya yote pamoja na Asia zinaenda kuwa chini ya Russia
Mm nazani au napendekeza kama ndani ya dakika 90 za mchezo kwa Kila team Kuna penalty taker basi hata baada ya dakika kama tunaingia kwenye penalty napendekeza kama tunapiga penalty kumi na Nina mpigaji wangu mzuri naomba zote apige yeye coz kama ndani ya dakika 90 mliweza kuniruhusu huyu apige...
Na hiyo sababu lazima iwe na maslai mapana ya Nchi, mfano tz tunaenda kupigana congo coz tumepewa eneo sehemu ya ziwa Tanganyika upande wa Kongo tumejenga bandari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.