Recent content by msela69

  1. M

    TRA waifungia Sahara Media(Star TV, RFA) kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 4.5

    Ni siku nyingi tu notisi walipewa ya kulipa toka miaka ya nyuma
  2. M

    Smile 4G LTE is No longer

    Mbona natumia kila siku speed powa. Angalia labda virus kwa computer au badilisha usb port
  3. M

    Continental decoder jamani kunani..!!!!!!

    Ahadi kibao za kuongeza channel, kumbe Hamna kitu. Wajipange, azam wamekuja juzi tu na channel 50 na zinaongezeka kila wiki
  4. M

    Continental decoder jamani kunani..!!!!!!

    Jamani Kingamuzi ndio kinakufa hicho, hii mara ya pili kingamuzi kinakata mawasiliano. Wametangaza kwamba Eti wanahama toka mfumo wa Mkonga kwenda satellite, kwa hiyo muwe na subira, na hata hawasemi zoezi litachukua muda gani. Mbona DSTV na Azam wana Update softwares na hatujawahi sikia...
  5. M

    TCRA - continental decoder ni wizi mtupu

    Vingamuzi vingi vitakufa baada ya muda, vitabaki vya Azam na Startimes
  6. M

    Itv na eatv kuanza kuonekana azam tv

    Msiwalaumu Easy TV, ITV na StarTV wamekataa channel zao zisirushwe, na wanataka hela ndefu sana kwa kampuni Ndogo
  7. M

    Itv na eatv kuanza kuonekana azam tv

    Rest in Peace vingamuzi kama Continental, Digitek na Easy TV. Azam wako juu na wamejipanga, sio kama vingamuzi vingine vinaanza biashara na channel 8. Kingamuzi cha StarSat cha startimes, ambayo unatumia Dish, haitakuwa na Local channel zaidi ya TBC na channel 10. Kwa hiyo haitaweza...
  8. M

    ITV na Star Tv, mnachemsha kuzuia matangazo Azam

    Q: Existing TV stations did not want to join and be part of Azam TV can you expand on the reasons why? A: They are Star TV and Independent Television (ITV). We have spoken to both of them, but at the end of the day it is their decision. My door is always open if they want to talk. It does...
  9. M

    ITV na Star Tv, mnachemsha kuzuia matangazo Azam

    TCRA pia walitaka makampuni DVB-T2 kwa ajili ya unafuu wa vifaa na wakati mwingine huhitaji Antenna. Kingamuzi change satellite cha Startimes, unfortunately hakutakuwa na channel za ITV na StarTV
  10. M

    ITV na Star Tv, mnachemsha kuzuia matangazo Azam

    Startimes wanakuja na product mpya ya satellite- under umberella ya StarSat, mwezi Huu february
  11. M

    ITV na Star Tv, mnachemsha kuzuia matangazo Azam

    Tatizo La ITV na Star TV ni kubwa, Ubabe wao hauishi kwa AZAM TV pekee, Ila pia wamekatalia channel zao kwa Easy TV, DSTV, ZUKU. Lakini baada ya Muda watangazaji wa bidhaa watapokea data na ndio wataanza kuumia kutokana na kuwa na coverage ndogo kwa vingamuzi. Kama sio TCRA pia walikuwa na...
  12. M

    TV1 (VIASAT 1) Naona wanakuja speed! wajihadhari na wanasiasa

    Wako Kingamuzi cha Startimes channel 103. Taarifa za habari zimeanza this week saa 1:30. ITV wanaaudhi kukataa kuingia kwenye vingamuzi vingine, ili kingamuz chake kitoke
  13. M

    channel mpya dar es salaam ya channel 1(viasat1) yaanza vipindi rasmi jioni hii

    I hope wataingia Pia DSTV na vingamuzi vingine. Viasat 1 wameanzia Ghana na sasa wako tanzania. wanalenga international programmes kuchanganya na Local Programmes. ITV wanaudhi kungangania Channel yao isiwekwe kwa vingamuzi vingine, mapinduzi sasa
  14. M

    Information about Digitek pay TV

    Easy TV wana Emmanuel TV and Nickelodia Channel, and 4 great channel of English movie non stop. Wako Zhongwa Victoria
Back
Top Bottom