Upo sawa mkuu, uyo alikuja kuuza sura tu huko, mbona hata bongo hapa anachochote zaidi ya kupiga picha serena hotel anakunywa chai na skonzi, hana akili uyo mlipuuze amekalia siasa uchwara tu.
Acha kuponda watu wewe mamaee, wewe unamaisha gani mazuri bongo wakati hata wakiita matajili wa mtaa unaoishi haumo kwenye listi? Kazi kupiga mi self kwenye Hotel kubwa kubwa na kujisifu wakati na wewe ni mchumia juani tu.
Njoo na kiki nyingine nikuanike hadharani.
Kama wewe ulishindwa acha...
Mkuu lakini na mimi nitaendele kuwa na mashaka sana na unachokisema, kweli unaweza kutuaminisha kwamba hujawai kutoa taarifa zozote kwa wana usalama? Kweli serikali itake taarifa kutoka kwako eti ukatae???? anyway ni mawazo yangu tu lakini mimi imani na Jf imetoweka kwa kiasi kikubwa.
Ni mimi...
Tatizo la hawa dada zetu wanapoona wanaojiita wameokoka, yani wanapo fanya uovu huko mtaa mda mrefu na kujikuta amechelewa na kukimbia kanisani kumbe tabia ile bado ipo rohoni ndo maana tunawangusha kiulaini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.