Heisenberg
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 1,688
- 2,922
Kuna Mchepuko wangu kanitumia hiyo picha, " Etii Bebiii naomba nitumie elfu 11 ninunue chupi"
Mimi nilijua ananua chupi moja kumbe anataka dozen/ package
Hivi kweli package yote hiyo inauzwa elfu 11.????? Hapaana mchepuko wangu hawezi vivaa vichupi vya bei ndogo kiasi icho
Nimemuambia atafute chupi nyingine zinazoghalimu angalau elfu 50. Sio kuvaa kichupi cha 1800/=
Hata Nandy mwenye kabadirika now
Uzi tayari