Recent content by Msego

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif akamatwa na Polisi huko Visiwani Zanzibar, Polisi wakana kumshikilia

    Ndo aliyeamuru.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanajeshi aliyeokota pesa na kuzirudisha alipwa Mara mbili na amepandishwa cheo kwa ngazo mbili

    La tatu, inawezekana alitaka kuonyesha uaminifu mbele za Mungu na wanadamu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Video: Halmashauri kuu ya TLP yampitisha Dr. John Magufuli kuwa Mgombea Urais 2020

    Kisha kunywa mvinyo wa Parole [emoji23][emoji23][emoji23]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Redcross bado kwafukuta

    Duh.
  5. M

    JamiiForums Tanzania UK to send Nuclear Submarine, Commandos to the Gulf

    Kwahyo ni taifa lipi linaweza kupambana na Irani?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kenya: Wasichana wa kidato cha pili wajaribu kumuua mwenzao sababu ya mwanaume, Wafukuzwa shule

    Hawa si hawaruhusiwi kufanya mapenzi hadi wawe na 18 yes!!?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hassan Nasrallah wa Hizbolla asema wana makombora yanayoweza kupiga kila sehemu ya Israel

    Acheni unyumbu, vita haipiganwi kwa maneno. Israel ndo taifa pekee duniani linalopakana na adui kila upande na libaendelea kuwepo na kupora aridhi mpya. Kama Hizibullah wako vizuri wakaichukue milima ya Golan toka Israel wampatie Assad, au aridhi zinazoporwa toka kwa palestine kila siku kwanini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hassan Nasrallah wa Hizbolla asema wana makombora yanayoweza kupiga kila sehemu ya Israel

    Kwanini US agome? Unajua kitu inaitwa "mutual relationship?"
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hili sanamu la Baba wa Taifa JK Nyerere limekosewa sana, halifanani naye

    Anamdanganya kwani bwana Raisi yeye hamjui nyerere?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Birth rate ni kubwa sana Kigoma? Hakuna family Planning progmams huko?

    Lishe ni kubwa, hakuna njaa kama mkoa wako ulivyo. Above all wanafuata kauli ya mkuu wa kaya"kufyatua". Pia nguvu za kiume cyo kama ninyi wanaume wa Dar
  11. M

    JamiiForums Tanzania China yaitaka Uingereza kukoma kuingilia masuala ya ndani ya Hong Kong

    Wazungu siyo katili kama hawa wenzetu. Hata kisiwa cha Mayotte(Comoros) kinapenda kiendelee kuwa chini ya utawala wa Mfaransa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Umbumbumbu wa Sheria umemponza Lissu

    Hiyo sheria ya miezi 6 siyo kwa wabunge. Isome tena.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Umbumbumbu wa Sheria umemponza Lissu

    Acha mahakama itende kazi
Back
Top Bottom