Jicho la kengeza, uzinduzi wa mbuga ya wanyama Burigi na ufisadi kwenye ujenzi wa uwanja wa ndege Chato.

mcoloo

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
918
1,401
Watanzania tumezoea kufanyiwa viini macho nasi kubaki tunashangilia, Eeee sasa kutakuwa na ongezeko la watalii Burigi , kwani hapo hawali utalii ulikuwa haufanyiki burigi hadi ulipo jengwa uwanja wa ndaege chato?.

Watu wamehoji fedha za kuujenga uwanja Chato zili pangiwa bajeti lini na kuidhinishwa wapi, majibu ni kimya.
Baada ya kuona dili limeshtukiwa, eti wanaleta habari ya kuzindua mbuga.

Kama ni suala la maendeleo kila sehemu yanahitajika, mbona Rais wetu mstaafu JK aliacha mipango ya ujenzi wa bandari ya Bagamoyo huku akijua wazi kuwa lilikuwa jambo bora na hata kama itakuwa ametoka madarakani kabla ya ujenzi huo wa bandari kukamilika basi anaye kuja angemalizia na kuwaletea watu wa mkoa wa pwani maendeleo na zaidi taifa linge jipatia faida kupotia ushuru wa bidhaa mbali mbali ambazo zinge pitiia bandari hiyo.

Lakini kwa bahati mbaya mtawala aliyefuata ni mtu mwenye wivu na asiye penda kuona mafanikio ya wenzake.

Kwani waamu ya nne wangeamua kufanya kama haya ya Chato wangeshindwa?

Hasha walitambua kuwa kila lililo jema litafikiwa tu hata kama muda wao wa kutawala utakuwa umepita.

Ukiwa kiongozi lazima utende kwa haki kama Chato walitaka uwanja wa ndege vile vile Bagamoyo nao walihitaji bandari.

Na ndio maana tunasema hili la uzinduzi wa Burigi tuna litazama kwa jicho la kengeza.
HAKI Sawa kwa WOTE.
 
Takataka hii,tupa kule
 
Mlitaka ajenge Bandari ili baadae mumtukane kwa yeye kuruhusu nchi kuingia kwenye hasara kubwa kutoka China? Hizi akili za kisakosisakosi tabu sana. Hata Chato ni Tanzania acha ajenge.
 
Back
Top Bottom