🏃♂️ HATUA YA 2 YA BIASHARA
✍🏿 karibu msomaji baada ya kuangalia mbiniza kukufanya wewe uwe na wazo zuri la kibiashara naimani mpka sasa una uwezo wa kuwa na wazo zuri la kibiashara.
🔽 Hatua ya pili ni kitafuta ujuzi wa biashara uliyo ichagua, kujifunza ni muhimu sana kuliko hata mtaji, make...
ONLY THOSE WHO DARE TO FAILURE GREATLY CAN NEVER ACHIEVE GREATLY
Look at successful people. On their path of success,vyou will find that many of them have faced big failures. Why? Because they had the courage, theyvhad the guts, and they dared to fail. You have got to pay the price of failure...
Funzo la siku ya leo👇🏽
Nataka Nifanye Biashara Unanishauri Nifanye Biashara gani inayolipa🤷🏽♂️🤷🏽♂️ Swali hilo ndilo swali linaloongoza kwa kuulizwa na watu wengi kuliko swali lolote lile. Mara Nyingi huwa nawajibu "HAKUNA"
Kuna kitu cha mwanzo kabla ya kitu BIASHARA.
Biashara ni Kitu cha...
Watu wengi wanajua wanachopaswa kufanya hapa duniani ili kubadilisha maisha yao na kugusa maisha ya watu wengine katika jamii,lakini changamoto kubwa wanashindwa kuanza kufanya chochote kwa hofu ambayo kimsingi haina mantiki yowote.
Hawa ni wale wenye shauku kubwa moyoni mwao kufanya jambo la...
Ni kweli sasa hiyo pesa inayo potea ni sawa na maarifa uliyo yapata baada ya kufeli kwahyo siku ukianzisha biashara tena huwez kukwama hapo.
Ukweli ni kwamba katika shule ya kawaida unaweza kusoma bila kutanguliza ada.
Lakini katika shule ya maisha lazima utangulize ada( hasara) ndo upate ujuze...
👨💻 ( POWER OF SETTING SPECIFIC GOAL)
Bado tumejikta katika mada yetu ya hatua za mafanikio kipengele cha KUJIWEKEA MALENGO MAALUM.
Swali : Hivi kuna mahusiano gani kati ya malengo na mafanikio?
✍🏿 Ngoja nianze na mfano: Ujue binadamu anapo anza safari ya kitafuta maisha huwa hana tofauti...
HATUA ZA KUANZA BIASHARA
🖊️ Biashara ni kitu kizuri ila kinaweza kuwa kitu kibaya( itategemea na matokeo uyapatayo)
🎤 Ukizngatia hatu muhimu 10 biashara itakuwa ni kitu kizuri kwako *.
1. Kuwa na wazo zuri la biashara*
💧 Jambo la kwanza ni kuwa na wazo la biashara ambalo litakufanya wewe...
🇹🇿 4PILLARS OF BUSINESS( NGUZO 4 ZA BIASHARA)
🙏 Leo naomba tuamke na hii👆🏽👆🏽: Takwimu za benki kuu ya dunia zinaonyesha kuwa watu walio na mafanikio makubwa sana ni wafanya Biashara.
Ukitaja Matajiri 1000 duniani wote ni wafanya Biashara😁😁
🤝 Tukubaliane nalo hilo.
💧 Ili kitu chochote...
✍🏿✍🏿 MAFANIKIO NI TABIA:
Waswahili husema : Tabia hujengwa🤷♂️ Eti ni kweli?
Sina jibu ila kuna watu walikuwa wema sana Leo waovu, pia kuna watu walikuwa wovu Leo ni wemaa
👩🏿🦲👩🏿🦲 Yaweza kuwa kweli tabia hujengwa.
✍🏿 Hivi wajua mafanikio ni Tabia? 🤭🤭 😁😁😁
Ndio kuna tabia lazima...
🌓 WAZO LA BIASHARA
Ukifatilia makala yangu iliyo zungumzia hatua za kuanza Biashara, hatu ya kwanza n kuwa na wazo la Biashara.
👆🏽👆🏽 Makala hiyo imezungumzia njia za kupata wazo zuri la kibiashara litakalo kulipa.
💱 Leo nigusie kitu kimoja kimezama kiuchumi zaidi.
🤷♂️ Je unajua mbinu...
🙆♂️🙆♂️ FAIDA YA KUFELI KTK BIASHARA.
👩🦽 Nimekuwa nikiulizwa maswali mengi na watu mbalimbali juu ya suala la kufeli.
👆🏽MMI KILA NIKIANZISHA BIASHARA NAFELI JE NIFANYE JE NISIFELI?
👇👇
😆😆 Nimekuwa nikifurahi sana na kuwapa majibu mazuri, kwanza hata Mimi mwenye nimefeli mara 5 na...
🛣️ CHANGA MOTO ZA KUELEKEA KWENYE MAFANIKIO
✍🏿 Kila mtu anaye ishi anahitaji kuwa na mafanikio kwa ghalama yoyote ile.
Wengi tumekuwa tukikosa kuyaendea malengo yetu ambayo n mafanikio kwa baadhi ya changamoto.
🙏🙏 Naomba ni bainishe baadhi ya changamoto ili uzijue na ukabiliane nazo.
1...
JAMBO 1 KTK PESA
✍🏿 Leo naomba tugusie jambo dogo sana ktk pesa.
💧 Kinacho kufanya wewe kuwa Tajiri sio kiwango cha pesa ulicho nacho ila ni matumizi kwa kile unacho kipata.
🙏 Mfano : Kama unapokea laki 3 kwa mwezi na ukatumia laki 2 na 80 na ukatunza elfu 20 M-pawa. Baada ya miezi sita...
✍ KWA NINI HUJAFANIKIWA‼️
💧 Kwanza tambua jambo 1 mungu hawezi kukutoa hapo ulipo mpka akupe elimu ya kule unapo taka kwenda ( kila elimu inalipiwa )
Mfano: Kama wahitaji kufanikiwa kibiashara lazima uwe na elimu ya kufanikiwa hapa ndo utakuta mtu anataka kuwa kama Fulani ktk biashara ila...
UWEZO WAKO
✍🏿 SWALI KUU HIVI KWA NINI MO NA BAKHERSA WANAKUWA MATAJIRI WAO TU?
💧 MO na BAKHERSA ni binadamu kama sisi wana kila kitu tulicho nacho, walikuwa maskn kama sisi pengine mwanzo tuliwazidi uwezo lakin kwa nini saivi wanatuzidi?😇( hapa kichwa kinauma).
✍🏿 Ukimtizama Mo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.