Recent content by msd

  1. M

    Hivi mradi wa DARTS aliubuni nani? Was it the best/cheaper option

    Huu ni mradi wa wakubwa ndo maana hata Magufuli hapigi kelele kwenye huu mradi japokuwa una makosa Mengi ya wazi,kwa mfano hii barabara ni nyembamba na endapo utaongozana na lori kwenye kona itabidi uliachie lipite otherwise utapata hasara,siku moja nilimuuliza injinia mmoja wa wizara ya ujenzi...
  2. M

    Bei ya iphone 4 & 5

    Iphone 5 original na mpya haiwezi kuwa laki 6,mfano ukiagiza Moja kwa moja kutoka USA ni Dollar 500 ambayo kwa TZS ni kama laki 8 na ushee hivi.
  3. M

    Samsung Galaxy s5

    Kwa wale wapenzi wa samsung Galaxy S5,,Ndo itakuwa na muonekano kama huu pindi itakapo toka.
  4. M

    Weekend Njema

  5. M

    Cheka Uongeze Muda wa Kuishi

    Weekend Njema Wadau
  6. M

    Dalili hizi ni za kupendwa ama?

    This is how Great Thinker Do,,,,Thanks kwa mawazo yenye hekima ya hali ya juu.
  7. M

    Dalili hizi ni za kupendwa ama?

    Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kuwa na urafiki wa karibu na Dada Mmoja {Normal Friend} ukweli sijawahi kumtongoza lakini nipo free kwake kumwambia kitu chochote,,lakini karibuni ameanza kuniambia personal issue nyingi ambazo naweza kusema ni ngumu kwa mwanamke kumwambia mwanaume wa...
  8. M

    Dalili hizi ni za kupendwa ama?

    Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kuwa na urafiki wa karibu na Dada Mmoja {Normal Friend} ukweli sijawahi kumtongoza lakini nipo free kwake kumwambia kitu chochote,,lakini karibuni ameanza kuniambia personal issue nyingi ambazo naweza kusema ni ngumu kwa mwanamke kumwambia mwanaume wa...
  9. M

    Msaada vat return software

    Wadau naomba mnisaidie kwa anaye jua kuhusu software ya Vat Return,Napata tatizo wakati wa kuistall hii software kwa baadhi ya Computer lakini sio zote nyingine zinakubali,nafanya procedure zote za installation lakini ukiifungua na ukitaka ku save kazi zato inakuambia ''you must generate a...
  10. M

    Msaada kuzuia namba ya mtu asinipate hewani

    Kuna software unaweza kuzi download kwenye simu yako kama Call Blocker {x - Adv 4.0},Hii ni nzuri una block no.ya mtu ambayo hutaki akupate pia ina uwezo wa kublock all unknown Calls ambazo hazipo kwenye Phone Book yako kama una wasiwasi atakupigia kwa No.nyingine,pia ina option ya kuceive sms...
  11. M

    Re:Najaribu Kumsahau lakini Nashindwa

    Yaaah thats Tru
  12. M

    Re:Najaribu Kumsahau lakini Nashindwa

    Shukrani sana mkuu kwa kunipatia matumaini mapya.
  13. M

    Re:Najaribu Kumsahau lakini Nashindwa

    Shukrani sana,,nitajaribu kufuata ushauri wako
  14. M

    Re:Najaribu Kumsahau lakini Nashindwa

    ''greatest love in the world is to love urself'' Agreed Kaka
Back
Top Bottom