Recent content by msapwata

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio uhamiaji Airport ya sasa wafanyakazi wajawazito uhamiaji kuingia kazini na kujifungulia ofisini

    Mjue ofisa anayelazimisha watumishi wake kufanya kazi hata kama ni wagonjwa,mpaka kufikia hatua ya kujifungulia ofisini. Ofisa mmoja ambaye ndiye mkuu wa kitengo cha uhamiaji hapa Airport anaongoza kwa kukatalia watumishi ruhusa hata kama wakiwa mahututi afya zao. Ofisa huyu anawakomalia watu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Apollo Medical Centre ina manufaa kwa wananchi?

    Jioni nilijiskia vibaya nikaona nijongee pale hospitali,weee kilichonikuta sitaki hata kikutokee wewe. Kwanza wanathaminiwa watu weupe tu, watu weusi baadae, kisha madaktari wenyewe pia hakuna. Baada ya kipimo cha Malaria nilimsubiria daktari kwa masaa matatu bila mafanikio ikabidi nisepe...
  3. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Mfaki afariki Dunia

    poleni wafiwa wote
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

    nafuu akamatwe kiukweli siku moja nilipitia blog yake nikajouliza kapata wapi ujasiri wakutukana viongozi wetu? polisi mimi nasema mpigeni tuuuuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chenji yangu konda

    mi nachukia sana. wao ukipungukiwa mia wanakataa kabisa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya Maandishi ya Kiarabu na Uganga?

    happy aliepanda ndege bila nauli na kukaguliwa na kuongea na mapaka na wadudu ni dini gani?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fanya lolote utakalo ndotoni-lucid dreams

    mmmmh. napita tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la zimamoto katika mazoezi ya kuzima moto uwanja wa ndege DOM

    mmmmh. kama umeharakisha tulia na uje na taarifa kamili na source mkuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imekopa mishahara ya July 2014?

    yaani nimeongezwa kama 20%
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imekopa mishahara ya July 2014?

    Mimi niliupata tangu tarehe 23 july tena mkubwaaaa sikutegemea nyongeza niliopata. Duuuu naipongeza serikali ya jk
  11. M

    JamiiForums Tanzania Njia ya kumtafuta mtu kwa kutumia namba yake ya simu

    inawezekana ila lazima kwanza uishike simu yake kisha unaifanyia some installation kwa mail yako. then hadi sms zake utaziona
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha kusikitisha cha Mama na Mwanae Wilaya ya Misenyi

    R.i.p mama amina na amina allah ndie mjuzi wa mliyoyatendanda na tunayoyatenda
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nertherland 4: Argentina 3

    ila nahisi yatatokea ya jana. 7/1
Back
Top Bottom