Jioni nilijiskia vibaya nikaona nijongee pale hospitali,weee kilichonikuta sitaki hata kikutokee wewe.
Kwanza wanathaminiwa watu weupe tu, watu weusi baadae, kisha madaktari wenyewe pia hakuna. Baada ya kipimo cha Malaria nilimsubiria daktari kwa masaa matatu bila mafanikio ikabidi nisepe.
Serikali itupie macho hospitali hii, pengine haina vigezo, italeta madhara kwa wananchi.