Recent content by MSANGANZILA

  1. MSANGANZILA

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu awamu ya pili hizi hapa

    Wana jamiiforum naomba mnisaidie kwa anayejua majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu ngazi ya cheti yanatoka lini. Majina ya wale wanaojiunga na kidato cha tano mwaka huu yalichelewa sana. Kufanya kazi kwa mazoea kunapelekea mambo mengi kutofanyika kwa wakati. Hivyo mianya hiyo...
  2. MSANGANZILA

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba ni "Bwana Kero" tokea zamani

    huyu mzee nime mkubali sana nimesoma document moja kwenye internet ametaja baadhi ya wizara na baadhi ya hotel ambazo zote zilistahimili kwa kivuli cha rushwa hapa nchini kesho naweka na ni kweli kwasababu baadhi ya hizo wizara zinashikiliwa na watoto wa waasisi wa rushwa enzi hizo.
  3. MSANGANZILA

    JamiiForums Tanzania PICHA: Athari za mvua jijini Dar es Salaam

    mbona sijasikia TV ya taifa ina ripoti hili janga live kama vifanyavyo vyombo vingine vya habari nchi nyingine. mpira hamrushi matukio kama haya hamrushi , labda chereko, hotuba za mafisadi na mikutano. ya wezi. huwezi ukapiga hatua yoyote kama msaliti wa kwanza katika nchi yako ni vyombo vya...
  4. MSANGANZILA

    JamiiForums Tanzania Picture: Tanzania Boys Win 2014 Street Child WORLD CUP in BRAZIL

    Nawapongeza vijana wetu waendelezwe. wasiishie hapohapo. Wengine ambao wakipewa surppot na wanaweza kuleta heshima ni twiga stars sio hao wengine.
  5. MSANGANZILA

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tuboreshe Rasimu iliyopo - Adai hajafurahishwa na Hotuba ya Warioba na Rais Kikwete

    Kwa wasio jua nini anakifanya mheshimiwa Zito ndio wale wanamtuhumu bila kutumia Facts. Zito ni kiongozi anayejenga hoja zinazo onekana sio kuongea tu majukwaani. Yapo mambo mengi sana ya kujadili sio muungano peke yake.
  6. MSANGANZILA

    JamiiForums Tanzania Wapinzani waipinga hotuba ya kikwete

    Kwa aliyesikiliza vizuri atakuwa ameelewa ila wasio wasikivu ndo hawa wapiga kelele humu ndani. kama mkuu wa nchi rais asingetoa msimamo wa chama chake kupitia hotuba ile. alichofanya ni kuweka mwelekeo wa majadiliano kwa kuifanya rasimu ya katiba kama ipo kwa ajili ya CCM na kuacha utaifa nyuma...
Back
Top Bottom