Recent content by Msangangongele

  1. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wamemtupa Rose Muhando porini, ameokotwa na Wakenya

    Atakuwepo June 26, Tamasha la Vijana la Twenzetu kwa Yesu, Uwanja wa Uhuru jijini DSM, Tamasha linaandaliwa na Upendo Media, KKKT dayosisi ya Mashariki na Pwani. Ataimba nyimbo zake zote. Njooni mumuone.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mikwara yote ya Urusi Israel washambulia tena Syria kwa "Bunker Buster"i

    pitia vema sentence yako ya mwisho mkuu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na mikwara yote ya Urusi Israel washambulia tena Syria kwa "Bunker Buster"i

    Duh umeharibu mwishoni kututukana watu wa manzese
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Makanisa ya Tanzania yanakengeuka? Tuanze na Tamko la KKKT

    Uongozi mzuri na Uzalendo sio mbadala wa katiba mpya. Hoja nzito!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tunda gani hili?

    hayo matunda matamu balaaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uasilia: kabila la Hamar wa Ethiopia

    The Hamar are known for their unique custom of "bull jumping," which initiates a boy into manhood. First, female relatives dance and invite whipping from men who have recently been initiated; this shows their support of the initiate, and their scars give them a right to demand his help in time...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Kolamu ya Majaji yaahirisha shauri la uchaguzi Kenya

    Supreme Court adjourned due to lack of Quorum. DCJ Mwilu unable to attend as her body guard has succumbed to his injuries. Njoki Ndung'u is out of town and could not catch a flight. Justice Ojwang and Justice Wanjala not able to attend. Justice Ibrahim is out of the country for treatment.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka maisha mazuri

    Mama Janeth Hiza
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Woman in wedding dress pleads for husband on Nairobi street

    Mwanamke mmoja nchini Kenya ameingia katika barabara za mji mkuu Nairobi, akiwa na bango lenye maandishi yanayosema kuwa anatafuta mwanamume wa kumuoa. Akiwa amevaa nguo nyeupe sawa nguo inayovaliwa Bi harusi, Pris Nyambura mwenye umri wa miaka 28, ambaye pia ni mama wa mtoto mmoja, alikuwa na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro ametoa ufafanuzi kuhusu askari aliyefyatua risasi hewani mbele ya Waziri wa zamani

    kwa haya yanayotokea, mtu mwenye akili zake atasita kuja kuwekeza Tz, kosa la wrong parking zinalia risasi!! twafaaa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaweza hebu muone huyu

    duh chek miguu inataka kuingia ndan
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Mabodigadi / Walinzi wa Marais huwaangalia sana Watu machoni na siyo pengine?

    kwa kawaida, bodygurd huangalia mikono ya watu, yaani movement za mikono ndo kila kitu, na sio macho. hiyo ni kwa uelewa wangu kiduchu, huwezi kuangalia macho wakati macho hayawezi kusababisha action
Back
Top Bottom