Recent content by MSAMBULE

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamama naombeni mnijibu hili!

    yepi hayo gwijimimi??ndo ufungukage sasa!!!
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamama naombeni mnijibu hili!

    kweli kabisa mama's boy kwani anafanya kazi lakinh anakaa kwa mama yake,anapikiwa,anachemshiwa maji ya kuoga mkika nae sehemu kutwa kuchaty na mama yake kwakweli tabia ilikuwa inakera ila sikuwahi kumwambia,kwasasa nilishakaa kando nae.wacha aendelee na mama yake.
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamama naombeni mnijibu hili!

    akhsante na ni mtoto wa mama mpaka basi!ila ndo sipo nae tena wacha abaki na mama yake.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa sekondari ananikosesha raha ndani ya ndoa yangu

    Mweeee!!!laiti angejua kuwa ni kipoozeo cha njaa ya muda mfupi angesoma tu,hakika mapenzi na shule sawa na chai na mlenda!
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamama naombeni mnijibu hili!

    Hii imenikuta na mimi yaani alivyonipelekwa tu kwa mama yake na kunitambukisha yule mama alicheka kicheko flani hivi,toka hapo mpendwa wangu akanibadilikia kabisa,huwa sipati jibu alimweleza nini mwanae juu yangu.ila sijawahi kuona mtoto wa kiume kuwa karibu na mama yake kiasi kile na mwanaume...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usipende sana!

    ina maana ukiwa katika mahusiano usionyeshe kupenda kupita kiasi au usimpende mtu mpaka akajua kuwa wewe kwake umekufa umeoza!akijua hivyo inakuwa kama ndio kiboko chake kwake,kwahiyo anaweza akakutendea vyovyote vile anavyojisikia lakini kwakuwa umeshamwonyesha kumpenda sana atajua huwezi...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miguno ya kimahaba

    Weee wifi unanivunja mbavu zangu!!!!
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana kueni waminifu

    sio kujitetea wanaume ndo chanzo cha matatizo katika swala la mahusiano.hata mpendwaje lakini kuwa na wanawake wengine ndo kawaida.toka nimeumizwa simwamini mwanaume yeyote yule maana naona wale wale kasoro majina tu.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninashindwa kumtongoza msichana japo nina sura nzuri na ni mtanashati

    Kweli kabisa!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mikoa watumishi wa serikali hawajapata mishahara

    Hali ni mbaya kwakweli,hasa tuliopo vijijini mambo yamekuwa magumu mno!sijui SERIKALI inatutakia nini mpaka sasa.
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usipende sana!

    Siku zote kama jambo halijakukuta hutalielewa uzito au wepec wake,kwa tuliokutwa na matatizo kulielewa vizuri neno hilo ni rahisi mno!ila usipende sana!!!
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana kueni waminifu

    Haahaaaaaaa!usisemewasichana tu hata wanaume pia kueni waaminifu.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninashindwa kumtongoza msichana japo nina sura nzuri na ni mtanashati

    elewa sio kila ombi ni lazima ukubaliwe,kuna kukubaliwa na kukataliwa uwe tayari kwa lolote!jambo dogo walikatia tamaa hivyo?haiwezani Nchi zooote zikukatalie uraia zipo zitakazokupa uraia.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ninashindwa kumtongoza msichana japo nina sura nzuri na ni mtanashati

    pole kwa hilo!
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Any girl miaka 18 to 26

    Pole kwa kutendwa,unadhani kwamba beutiful girl anaweza akawa ni potezeo lako la kutendwa?unataka wa kukuliwaza au kukuongezea stress?nafikiri good solution ya kukabiliana na maumivu ni kuji keep busy,na jichanganye na watu wengine.labda kama una hitaji company ya jambo jengine ila kwa kutendwa...
Back
Top Bottom