Recent content by msambaa mwenyewe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wanasubiri bahati katika maisha

    KWANINI MAISHA YAKO YAWE YA BAHATI NASIBU? Ni meangalia jamii yangu inayo nizunguka hasa kwa vijana bado kuna vimbi kubwa sana la watu wanaishi basi na kujua nn kusudi hasa la kuishi na wala hawana habari na kuyajua hayo wanaishi maisha ya udhalilishaji pasi na kujua wamekua chini zaidi ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Ni hiv hutokana na hali ya uchumi kwa kwa sasa nataka nianze na moja kwanza kisha baada ya.faida ndio nitaongoza.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Hii ni mimi natak kufungua biashara y a ps2 lakin sijui wapi pa kuanzia mtaji wangu ni kama laki tatu hivi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI WA.BIASHARA

    Samahanini ndugu mm naombeni ushauri nataka kuanzisha biashara ya ps kuchezesha gemu lakin ninamtaji mdogo sana kutokana na udogo wa mtaji nuliokuwa nao nataka kuanza na ps2 na tv ya chogo ndogo ninachotaka kwenu ni ushauri nifanyaje ile niwe tofauti na wengine ili niweze kupata wateja...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Haitoshi kumlilia Nape, Tunapaswa kuchukua hatua kumuwajibisha Rais

    Kwahali hii napata picha juu ya beni sa nane
  6. M

    JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Kwa hili la RC wa Dar, naomba niwe wa kwanza kufukuzwa CCM

    Tatizo tunapenda kuongea kwa chuki Ushahid uko wapi Achani ushabiki bwan
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuingia kwenye ulingo wa siasa rasmi; Je, nijiunge na CHADEMA na ACT Wazalendo?

    Nimepitia ushauri wenu kwa hakika mumenifungua sana kichwa ninaona njia sasa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuingia kwenye ulingo wa siasa rasmi; Je, nijiunge na CHADEMA na ACT Wazalendo?

    Ninajua kaka ninacho taka kukifanya
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuingia kwenye ulingo wa siasa rasmi; Je, nijiunge na CHADEMA na ACT Wazalendo?

    Husika na kicha wa habari hapo juu, Ninaomba kushauriwa juu ya jambo hili. Mimi naipenda sana siasa, mzee wangu yupo CCM na ni mwanachama hai. Kwakweli umenivitia sana kwa mzee wangu kuwa mwanasiasa japo si maarufu nchini lakini katika mtaa ambao yupo ni mtu tofauti sana na amenishauri kuwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Behind the curtain: September 11

    Ya tatu ikowapi jaman
  11. M

    JamiiForums Tanzania Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

    Usiifananishe tanga na vitu vya kipumbavu osieee iwe
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Dawa za Kulevya awamu ya Pili: RC Makonda awataja Mbowe, Manji, Gwajima, Idd Azzan...

    Anatafauta umaarufu tu asifiwe na mkubwa
Back
Top Bottom