msambaa mwenyewe
Member
- Aug 17, 2016
- 69
- 45
Husika na kicha wa habari hapo juu,
Ninaomba kushauriwa juu ya jambo hili. Mimi naipenda sana siasa, mzee wangu yupo CCM na ni mwanachama hai.
Kwakweli umenivitia sana kwa mzee wangu kuwa mwanasiasa japo si maarufu nchini lakini katika mtaa ambao yupo ni mtu tofauti sana na amenishauri kuwa mwanasiasa mkubwa sana hapa nchini na amenishauri nijiunge na ACT-Wazalendo ila mimi naipenda CHADEMA.
Naombeni ushauri ndugu zanguni niende wapi kati ya CHADEMA au ACT Wazalendo?