Mimi walikula pesa yangu ya tigo pesa mtu alinitumia baada ya siku kama nne nilimpigia jamaa anasema katuma nikiangalia salio hakuwa nikawapigia wakasema liliingia ikanibidi ni dawnlord taarifa zangu za tigo pesa mwezi mzima kuangalia hakuna pesa siku ya hiyo tarehe kuwapigia wasema limeingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.