Habari wadau.
Imekuwa desturi watu ambao wako kwenye mahusiano wanaachana halafu baadae wanarudiana tena.
lko hivi siku ya kuachana ikiwa anayemuacha mwenzake anakuwa anaongea sana na kujitapa ujue hakuna lolote kesho akiambiwa warudiane anarudi wepesi.
kuna mengine wadau mtaongeza mimi...
u know hapa bongo watu wazushi unaenda oral interview unatema maunjanja na ujuzi wanakupotezea wanachukua yule ambaye hata kujieleza hawezi ndo atapewa hiyo nafasi. sasa basi dawa ni hii hapa wakikupa nafasi ya kusema chochote useme mwishoni sema hivi kuna mtu mmoja ameonekana kunipinga na...
Kumekuwa na wimbi la matapeli kwenye soko la ajira kwa kuwatapeli wanatafuta kazi kuwa watoe kitu kidogo ili wawapitishe kwenye usaili, najiuliza kweli wewe mwajiri unahitaji elfu 40 au 50 kwa mtafuta ajira?, kama sisi tunatafuta ajira tumeamua kugeukana nayo tujue.
Hi Mr. pacifica hapo umewaweza wabongo ndo tulivo tunaongea sana na kukosoa wengine but kazi hatufanyi nakupongeza kwa kuwachana laivu
i think i need to work with you course i want to develop my idea concern with business.
i will be happy if you will consider my application
good night
hussein...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.