Recent content by msafwa wa usafwani

  1. msafwa wa usafwani

    Pierre Gumbo ‘Liquid’ akiwa na Spika Ndugai na Naibu Spika Tulia!

    Kama unaakili fupi huwezi kukiona cha kujifunza kwa pierre.ngoja nikupe pa kuanza kukiona cha kujifunza kutoka kwa guyu bwana anza kufikiria kuwa chochote kinaweza kuwa fursa ya kukuingizia kipato Sent using Jamii Forums mobile app
  2. msafwa wa usafwani

    Katika hili, namwamini Shetani

    Sasa kama huwaga husomi umejuaje kama anaanza na hayo maneno mkuu?[emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. msafwa wa usafwani

    Katika hili, namwamini Shetani

    Nimejaribu kuuelewa mfano wako mkuu mtoto kaambiwa ukiweka sukari kwenye chai ntakuchapa lakini akaja shetani akasema ukiweka sukari kwenye chai hakika chai itakuwa tamu.ni kweli mtoto baada ya kuweka sukari kwenye chai ikawa tamu lakini adhabu ya kuchapwa na mzazi inakuja kwa sabab mtoto...
  4. msafwa wa usafwani

    Hii mimba itakuwa ni Yangu au ilikuwepo tu kama mtego!?

    Bro unataka kutuambia ulifanikiwa kuruka kwenye pikipiki iliyokuwa speed ya 120kph[emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119] inawezekana? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. msafwa wa usafwani

    Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

    Wanasemaga ndege huwa zinakuwa kasi mno huko angani mfano ikiwa 300kph sasa na ule upepo kule juu hivi inawezekana ndege ikafunguka na mkawa salama kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. msafwa wa usafwani

    Katika hili, namwamini Shetani

    Daaah aisee[emoji119][emoji119] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom