Recent content by msabillah

  1. msabillah

    JamiiForums Tanzania Miujiza ya jero ya zamani (mia tano ya noti)

    Wewe unalako jambo na imani za watu. Eti usikae karibu na mahubiri ya biblia! Unafq tu unatuaminisha nini hapo.
  2. msabillah

    JamiiForums Tanzania Haya Hapa Majumba ya Putin!!

    Say Noooo
  3. msabillah

    JamiiForums Tanzania Haya Hapa Majumba ya Putin!!

    Umepiga kwenye mshono.
  4. msabillah

    JamiiForums Tanzania Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

    Kwahiyo unaunga mkono mauaji haya yanayotokea?
  5. msabillah

    JamiiForums Tanzania Wizi mtupu, madini ya Tanzanite yatoroshwa hadharani... Kenya yaongoza

    Huyo Mwamba alikuwa hatariii sana
  6. msabillah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

    Yaaani mtu amefanaya kosa la jinai anaambiwa alidhurumiwa! Je wale waliokuwa majumbani na vyeti vyao halisi wao walisoma bure et. Mtu asote kusoma tena kwa shida halafu atokee mtu hana shule aajiliwe kweli! Tena ningekuwa mimi ndiye rais ningesweka ndani wote. Mbaaafuuuu.
  7. msabillah

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Tatizo la vitu kutembea mwilini

    Pole sana
  8. msabillah

    JamiiForums Tanzania Ukatili DRC: Genocide against Banyamulenge on progress

    Kwahiyo unachukia sisi! [emoji23][emoji23][emoji23]
  9. msabillah

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa mji wenye msongamano mkubwa wa magari ni Moshi

    Tusipangiane je kama sisi tunaendaga septemba. Kwani kuna ulazima wa kwenda desemba?
  10. msabillah

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Matokeo ya vita Urusi-Ukraine ni Marekani kuitawala Dunia kikamilifu

    Alifanikisha Osama sembuse taifa la urusi!
  11. msabillah

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Matokeo ya vita Urusi-Ukraine ni Marekani kuitawala Dunia kikamilifu

    Pale pentagon yale maafa yaliyotokea vipi unasemaje? Au walikuwa wanafanya mazoezi USA.
  12. msabillah

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Matokeo ya vita Urusi-Ukraine ni Marekani kuitawala Dunia kikamilifu

    Aichague sasa china iwe masikini!
  13. msabillah

    JamiiForums Tanzania FAKE: Rwanda yawatimua mabalozi wa USA, Belgian,UK & France

    Mpe kichwa tu
Back
Top Bottom