Recent content by MSABAHA MWENDAPOLE

  1. M

    JamiiForums Tanzania much respect kwa wana jamvi hatimae nimepata kazi kupitia utumishi.

    kwa matangazo yaliyokua yakiweka jamvini, thax God for what u did to me, never give up brother n sisters kutafuta kazi ni kugumu asikwambie mtu, nimesugua benchi for more than 2 years now i get the starting point, usichoke kujaribu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ahsante MUNGU, Utumishi wameniokoa.

    same to me namshukuru sana mungu nimepata kupitia utumishi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kupotelewa na vyeti

    pole sana mungu atakusaidia utavipata
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kazi za Meli(Ubaharia)

    Kaongee vizuri na Katandula, kwani we umesoma level gani?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri

    yote yanawezekana, unaweza piga masters direct without taking postgraduate depending on your gpa if its above 3.3 there is no need of postgraduate
  6. M

    JamiiForums Tanzania Haya jamani tumishi imesikia kilio cha wahanga wa ajira katika kada za kilimo, ufugaji na uvuvi

    Yap yap ajira ngumu, ila post ni nying tembelea tovuti ya utumishi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Haya jamani tumishi imesikia kilio cha wahanga wa ajira katika kada za kilimo, ufugaji na uvuvi

    Ni zaidi ya nafasi 2400+ tembelea tovuti, kweli ajira ngumu zamani walikuwa wanapangiwa tu sasa hivi applications balaaaaaaa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pccb na interview zao

    pccb hata deadline bado haijafika unaulizia shortlist, baadae sana endelea kusaka ajira
  9. M

    JamiiForums Tanzania kumbe experience ni kigezo muhimu kupunguza ushindani !!

    mapema mno kutoa takwimu wakati deadline bado haijafika, wingi wa applicants usikutishe, ukiitwa kakomae nao
  10. M

    JamiiForums Tanzania Madudu LearnIT-Aptitude test

    Sijajua, vipi hawajakupigia simu?
  11. M

    JamiiForums Tanzania kuitwa interview

    Best wishes
  12. M

    JamiiForums Tanzania Madudu LearnIT-Aptitude test

    Wanao kudis Nina mashaka nap,huenda ndo wake wale
Back
Top Bottom