Recent content by Msaa maji

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa UDOM kufukuzwa: Chanzo cha mgogoro na Serikali inavyohusika

    Tuwe na maono ya mbali.wanafunzi hawa wanastahili kuendelea na masomo yao. Walifuata utaratibu wa kudahiliwa kama wamechaguliwa kujiuunga na masomo wawo wanatatizo gani. Serikali iliwadahili yenyewe.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Uhaba wa sukari umesababishwa na Rais Magufuli

    Msilete maneno bila utaalam prof ndio bingwa Wa uchumi duniani mnatakamsitake ukweli ni moshi hauzibwi na gunia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli, watanzania wana shida zaidi ya hapo!

    Wacha akili zetu zisuguliwe na msasa halafu ztakuwa nzuri
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kafanya uamuzi sahihi. Haikuwa sawa Kairuki kujilipa posho ya TSH 25M kwa mwezi

    Iko siku tutajuta kupoteza wataalaam
  5. M

    JamiiForums Tanzania CAG: Hakuna ufisadi NSSF

    Mungu akulinde dr dau
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hana sera yoyote ya kukuza uchumi, yupo yupo tu huku uchumi ukiteketea kwa kasi!

    Tunataka kuona mchumi na mkemia. Halafu tusome tujue advantages na disadvantages za inflation na difletion katika uchumi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Someni historia halisi msile matango pori
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bado Magufuli hafurukuti mikononi mwa Kikwete

    No evidence no talk
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Rais Magufuli kumpigia magoti Kikwete na Membe

    Jk anatisha yuko vizuri
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda akosoa utendaji wa Rais Magufuli

    Fikra za shekh ponda zinaona maili 100 mbele hongera shekh
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa Katibu Mkuu kiongozi Ikulu Ndg. Ombeni Sefue

    Acheni ayafumuwe majibu :D
  12. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Ramadhan Dau, Asharose Migiro na Mathias Chikawe wateuliwa kuwa Mabalozi

    Tusichekelee technical people are going
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mambo Kumi yalomshinda Rais Magufuli

    Zito hiyo mtu ni bright.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hamad Rashid kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar?

    Maalim anatisha
  15. M

    JamiiForums Tanzania Acha wafu wazikane wao kwa wao

    Hapa kwetu ni kuisoma namba
Back
Top Bottom