gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,608
Wakati watanzania mkiilalamikia serikali ya ccm
kwa kuingiza nchini mabehewa feki kutoka
china.Serikali ya jirani zetu UGANDA kupitia
kiwanda cha KIIRA MOTORS wametengeneza
gari basi ambalo linaendeshwa kwa kutumia
mifumo ya umeme solarpower.Lakini pia kiwanda
hiki kinajiandaa kutoa ajira kwa wanauganda elfu
40 nchi nzima.
Pamoja na udikiteta wa Yoweri Kaguta Museveni
lakini bunge la uganda ni miongoni mwa
mabunge bora africa,ukichaguliwa kuwa spika
kwenye bunge la uganda unapaswa kujiuzuru
ubunge na uanachama wa chama chako ili
kuliletea haki bunge... Spika wa bunge uganda
huwa sio mbunge...Serikali ya uganda ikizidiwa
hoja kutoka kwa wabunge wa upinzani spika
huwaita wabunge wa upinzani pamoja na
mawaziri wa serikali hushauliana na kufika
mwafaka.Wakati bunge lenu la JMT serikali
ikizidiwa hoja na wabunge wa upinzani spika wa
bunge kwa kuwa anakuwa ni mbunge na
mwanachama wa chama kilichoshika serikali basi
anaamuru askari police kuingia ndani ya bunge
kinyume na kanuni na katiba ya JMT kisha
kuwadhibiti wabunge wa upinzani halafu
mnatafuta mchawi wa maendeleo.Ni aibu nchi
iliyoongozwa na ccm kwa nusu karne (miaka 50)
kukosa ata kiwanda cha baiskeri ata kiwanda
cha soksi,ata kiwanda cha chupi,wakati wenzetu
UGANDA wanatengeneza magari ya
umeme,kenya wana kiwanda cha kutengeneza
komputya zenye jina la TAIFA,ETHIOPIA serikali
kupitia kiwanda wapo kwenye hatua za mwisho
kukamilisha utengenezaji wa tren ya umeme
kama ulaya,ghana wana kiwanda cha
kutengeneza magari ya kifahari yaitwayo
KANTANKA nyie ndio kwanza mmefanikiwa kuwa
na kiwanda cha kondom na chenyewe hicho
kiwanda cha kondom mlikipata kwa kuwa tu
wengi wa watawala wenu wanapenda kutikisa
viuno badala ya kutikisa vichwa ili kuamusha
akili.
Halafu mnalalamika eti maisha magumu wakati
nyie wenyewe mnaipenda ccm kuliko maendeleo
wabunge wenu wa ccm wameenda bungeni
msimu mzima wa miaka mitano wao ni kupiga
meza na kuipongeza serikali wakati nyie hamna
barabara,hamna maji,hamna zahanati dawa
mnazisikia radioni endeleeni kuwa hivyohivyo ata
BIBLIA inasema acheni wafu wazikane,mlichagua
jehanamu badala ya peponi mkichomwa moto
msilalamike
Na bado tuonane 2020#