Kweli hata kama ana jambo l kimungu ndani yake basi analitumia vbaya siku hizi sijui anaonyeshwa wapi by nlikuwa naangaliaga vpnd vyake star tv ule ni uaguzi Mungu sio dhalimu hivyo unatajiwa matatizo yako chanzo hata kama ni nduguyo sasa hapo kma mtumishi anajenga au anabomoa???ni udhalilishaji...
Dah ni mateso makubwa watoto wa wakulima ndoto za kusoma chuo kikuu zinafifia kuna dgo mmoja kapata dev 1dada yake alirelax akajua dogo atapata 100% mweee hata mia hajapata
Nakumbuka wakati wa kumtambulisha mgombea mjini kulikuwa kimyaa utadhan jumapili biashara hakuna boda hakuna watu pia wachache sana pale kimandolu tulikuwa tunapishana uwanjani ili kuepusha majanga daah lowassa weeeeh wizi wako huu ona sasa umeiiba arusha yoteeee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.