Recent content by mrsfulani

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa na mpenzi asiye na kazi?

    Hahaha
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za kinamama zinazoniudhi

    Mtuwacheeeee
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi unakumbuka toka kwa mama yako?

    Asante mkuu ila nafasi ya mama ni mama tu hakuna mtu atakye simama zaid ya mama nina dad ang uwa nampa iyo nfs ila haitosh kbs mtu pekee wa kubeba maumiv yako km yake ni mama tu
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipi unakumbuka toka kwa mama yako?

    Mume wng anatabia ya kunishtaki kwa mama ake uwa naumia sana hunifanya nimkumbke mno mama ang (rip)
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusaidiane hapa! Migogoro ndani ya familia inakuwa kwa kasi....

    Yan ukoo wetu uku vinyongo vmetawala mpk kero mfyuuu
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mpenzi mpya kazira nifanyaje?

    Heshim yako the boss upo sahihi kabisa mashoga wa nini jamni kila siku tunaambiwa hatusikii mfyuuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msichana Mrembo anatafuta kazi ya Reception

    Nafasi bado ipo kaka nahitaji nipo mwnz nmesomea Secretary
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi hisia ni mimi tu?

    Poyeee
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la infertility (kutokuwa na uwezo wa kupata mtoto)

    Pole sana kaka usijal mungu ni mwema hayo ni majibu ya madkari sio mungu jitaid kuwa unamuomba mungu jtaid pia kuanglia emmanuel tv kwa iman utapona mungu ni muaminfu sana naamin atakusaidia tu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kupunguza unene

    Hata mim huo mda sinaga tena jamani
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wote

    Aisee mpk sa 2 asbh mr hajarud home sim apokei kumpgia rfk ake anasema yupo gareje shem anakuja mda si mref gereji ya asbh naona alinijbu tu kuniridhisha na vile nimemshkiza bas mr naye anakomaa mpk leo alilala gerej uwa nawaitkia tu ila wanaume shikamoonii aisee
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Ananipenda lakini hataki kunioa

    Hakuna kinacho shindikana wew kwa Mungu acha kumvuja moyo icho ni kitu kidog san mbel za Mungu
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Ananipenda lakini hataki kunioa

    Huyu ni mwanadamu sio Mungu amin ipo siku utapata mtoto hata usijal kuwa ma aman na mtegemee mungu wako
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo manne unayopaswa kujua kuhusu kabla ya talaka

    Wegne hata kukaa chini kuambiwa ukweli na kuzugumza ili yaishe ni kazi hawataki kubadilika sasa mtu km huyu unamfanyaje
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Aliniambia ana msichana wake, nikaridhia, sasa kanipa ujauzito

    Nimechekaaa sanaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Back
Top Bottom