Recent content by MrMondo

  1. MrMondo

    JamiiForums Tanzania NSSF Balance inasoma 0.00 ina maana gani?

  2. MrMondo

    JamiiForums Tanzania Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

    Inna lillahi wainna ilayhi rajiun
  3. MrMondo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa NSSF, Pro. Kahyarara na kumteua William Erio

    Kilichofanya atumbuliwe ni FAO LA KUJITOA kumekuwa na nenda rudi isiyo na mwisho badala yake ilibidi watu waambiwe ukweli kwamba fao halipo kuliko nenda rudi isiyo mwisho. Ila kingine inasemekana kwamba amekua akitumia MUSWADA wa fao la kujitoa kama SHERIA ukweli ni kuwa RAIS bado hakusaini...
  4. MrMondo

    JamiiForums Tanzania CAMERAMAN ANATAKIWA

    Ilo la kutafuta masoko tafuta meneja masoko umuajiri kwani ni taaluma mbili tofauti kabisaaa
  5. MrMondo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kujisajili kama private candidate

    Mimi pia nina mpango wa kufanya egm 2019 nipo dar nicheki tufanye kitu (0716457094)
  6. MrMondo

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu vya PCB bei rahisi

    Upo dar??
  7. MrMondo

    JamiiForums Tanzania CCM yaitaka Polisi imhoji Freeman Mbowe na viongozi wenzake wa CHADEMA walioshiriki maandamano yasiyo halali

    Zwazwa wewe,na bado kata mbili tu SALUM MWALIM awe mbunge wa kinondoni..mkaseme tena polisi
  8. MrMondo

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri kitaaluma kwa kidato cha tano

    feza boyz
  9. MrMondo

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    mungu ni wetu sote,tuwe na utu jamani,kuna maisha mengine baada ya haya ya duniani
  10. MrMondo

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2018

    Private haina shida sifa ya kufanya mtihani kidato cha 6 ni kuwa na ufaulu usiopungua C' 3 and it does not matter wether C ipo kwenye civics or bible knowledge
  11. MrMondo

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni hili swali wandugu haki limenishinda

    Google utapata majibu
  12. MrMondo

    JamiiForums Tanzania Nitakubaliwa kubadili kozi VETA DSM?

    Soma tu iyo kozi soko lake kwa sasa ni kubwa kuliko iyo electrical,miradi mingi ya maji,mafuta na gesi inayofunguliwa hapa nchini nyinyi ndo mnahitajika nakushaur endelea tu na hiyo kozi na hutojutia. Kwa kifupi electrician wanaominika sana ni wale wa kuanzia diploma na kuendelea...
  13. MrMondo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kituo cha kufanyia mtihani wa kidato cha sita kama private candidate

    Nicheki tutakua pamoja mimi nahitaji kufanya advance mathematics na chemistry kama reseater (0625 514893) ukimpata mkali wa chemistry nistue na mimi
  14. MrMondo

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

    LYAMUNGO wazee wa lyaboyz tufahamiane,ila sijaona AL HARAMAIN ISLAMIC
Back
Top Bottom