Recent content by mrkweli

  1. M

    Nani ungependa apate Ubunge kwa tiketi ya rais? Toa sababu

    George waitara awe mbunge wakuteuliwa na rais ili ampe wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa.
  2. M

    Baraza la Mawaziri: Nani atoke, Nani abaki, Nani aingie?

    Kikwete...mpe jenerali waitara kitengo kwani ni jembe.acha mambo yako muache apige kazi upate sifa weye.
  3. M

    Abdulrahman Shimbo ateuliwa na Rais Kikwete kuwa Balozi wa Tanzania nchini China!

    Jaman jk??? Kama umeamua kuteua wastaafu basi teua wenye sifa nzuri,wapi jenerali waitara?? Napita tuu
  4. M

    Zaidi ya Suti: WikiLeaks yafunua mgongano kati ya JK, Kapuya na Gen. Waitara...

    Leo wanahalisi wametoa hii habari, at least watu watajua ukweli!!!!general waitara inabidi atafutwe nae aconfirm hizi habari kabla ikulu kama kawaida yake haijakanusha!!! Jaman general waitara yuko wapi siku hizi???yupo kama hayupo lakini bado anaonekana kichwa kweli kwenye taifa. Letu!!!kwa nin...
  5. M

    Zaidi ya Suti: WikiLeaks yafunua mgongano kati ya JK, Kapuya na Gen. Waitara...

    aMericans foreign policy yao ni no permanent friends no permanent friends but permanent interests, kwa policy hio jaman rais wetu bado hakufikiria nini general waitara alichokuwa akikiona au kuna agenda nyingine kikwete anayo na hawa wamerakani, ambao kwa sasa yeye mwenywe anaona jinsi gani...
  6. M

    Zaidi ya Suti: WikiLeaks yafunua mgongano kati ya JK, Kapuya na Gen. Waitara...

    Jamani mbona ikulu na salva na team yake wapo kimya juu ya hili au ni ya ukweli haya manake kimya chao inamananisha kwamba hawajui jinsi gani watavyoliweka manake kila kitu ni cha kweli?au wadau mnaonaje?mmmmmh kazi tunayo sijui tutafika, JAMAN WAHANDISHI WAHABARI hampo humu? Au paka salva aseme...
  7. M

    Zaidi ya Suti: WikiLeaks yafunua mgongano kati ya JK, Kapuya na Gen. Waitara...

    Jamani, waitara au kikwete nani bora?
  8. M

    Zaidi ya Suti: WikiLeaks yafunua mgongano kati ya JK, Kapuya na Gen. Waitara...

    Jenerali waitara hakutaka upuuzi kabisa kwneye mambo ya maslahi ya taifa,ndo mana hadi leo jamaa hajampa kitengo chochote kwa sababu anajua jenerali ana msimamo wa kukutetea sana maslahi ya inchi,leo hii wanyama wana chukuliwa nchi hii kwenda nje hamna mtu anasema chochote,kweli?jamani hamna mtu...
  9. M

    Zaidi ya Suti: WikiLeaks yafunua mgongano kati ya JK, Kapuya na Gen. Waitara...

    General waitara, ana msimamo na msimamo wake sio wa kihuni kama wa kikwete,ukweli sasa unatoka sio kwamba general waitara anamchukia sijui anaugomvi na kikwete, ni uzushi, waitara hakubaliani na usanii wa marekani ambayo kikwete aliukumbatia,sasa wamembwaga kwani wanamuona hana lolote ni usanii...
  10. M

    Zaidi ya Suti: WikiLeaks yafunua mgongano kati ya JK, Kapuya na Gen. Waitara...

    Jamani kweli kikwete anaendelea kutuuza kila siku, general waitara alikuwa anatetea maslahi ya inchi yetu kama alivyo apa kuilinda katiba ya inchi yetu. Americans wameshamdump rais zamani na sasa lazma atakuwa anaelewa waitara alikuwa ana manisha nini, general waitara we support you
Back
Top Bottom