WASIFU: Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26, ni mkazi wa jiji la Mwanza, wilaya ya Ilemela.
* ELImu: Niimesoma na kuhitimu Diploma of Accountancy and Auditing hapa hapa jijini Mwanza.
* UZOEFU: Nina uzoefu wa kazi hususani katika taasisibz kifedha wa takribani miaka mitatu kutoka katika taasisi...
Soma issues zote zinazo husuku customer care bank products and services provided, and core value za bank husika, na jitahidi kupitia zile job responsibilities ya kitu unacho omba ni muhimu sana. All the best mungu akusimamie
Boss wangu humu ndani wapo hadi watu wa idara husika kuanzia wakubwa mpk ngaz za chini kwahiyo kufunguka kila jambo n hatari kwa afya yako tafadhali ila TMO kama ulivyo ambiwa ipo vzr
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.