Nimesoma na kuhitimu Diploma of Accountancy and Auditing, natafuta kazi

Mrkaswahili

Member
Dec 17, 2021
65
43
WASIFU: Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26, ni mkazi wa jiji la Mwanza, wilaya ya Ilemela.

* ELImu: Niimesoma na kuhitimu Diploma of Accountancy and Auditing hapa hapa jijini Mwanza.

* UZOEFU: Nina uzoefu wa kazi hususani katika taasisibz kifedha wa takribani miaka mitatu kutoka katika taasisi mbalimbali hapa hapa jijini Mwanza, Nina uzoefu wa kuwa afisa masoko, loan officer, customer service,
Pia nilifanikiwa kwenda training ya masuala ya kifedha kwa wiki mbili.

* MAPENDELEO: Naomba kupitia ukurasa huu kupata kazi katika taasisi yoyote ambayo ipo hapa jijini Mwanza, kulingana na faculty niliyo soma, au kulingana na uzoefu wangu wa kazi nilionyesha hapo juu kwa maandishi, natumai katika uzoefu wangu huo, na katika nafasi tofauti tofauti nilizo hudumu nimejenga uwezo mkubwa wa kuhamasisha watu na kujenga timu pamoja na utendaji kazi uliotukuka.

*Ni wenu kijana katika kujenga taifa letu.
 
Mdogo wangu,
Nlivoona hyo kaswahili ikabidi nipekue profile picha, japo umeweka mgongo ila nimekutambua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom