Utofauti upo Mathayo ni Mwanafunzi wa Yesu (Kwa Asilimia Kubwa matukio aliyaona mwenyewe) na Luka sio Mwanafunzi wa Yesu na Kwa Asilimia Kubwa matukio yake anaandika Kwa kufata masimulizi ( Ukifatilia vzr utagundua Injiri ya Luka au Vitabu vya Luka kimeandikwa Kwa kufanya Interview na baadhi ya...
Upungufu upo kwenu nyinyi msiekubali kuona Makosa ni kweli Biblia ni Kitabu cha story za watu ndy maana kinaandika makosa?
Km Injiri iliandikwa kuelezea Maisha ya Yesu kwanini waandishi wote sio Wanafunzi wa Yesu (Marko na Luka sio Wanafunzi wa Yesu) ndy maana Makosa yapo mengi kwenye Vitabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.