Recent content by MRJ TLS

  1. MRJ TLS

    JamiiForums Tanzania Ningependa kujua kuhusu Toyota Hilux Double Cabin

    Na mimi nasubiri
  2. MRJ TLS

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Hapa nimeeelewa kwa mbinde sana asee
  3. MRJ TLS

    JamiiForums Tanzania Tahajudi (meditation) imenisadia sana

    Wewe mzoefu na ulie ona matokeo naomba tuelekeze jinsi ya kifanya
  4. MRJ TLS

    JamiiForums Tanzania Nina nywele zenye asili ya unjano njano. Msaada wa dawa au ushauri wowote

    Kuna mwanangu alikata san nywele zake aanze upya kila mara akijua anakosea kuzitunza kumbe ndo nywele zake mpaka pale alipo uliza washkaj ni wakamtonya zile black ni kwa ajili yetu wenye nywel nyekundu
  5. MRJ TLS

    JamiiForums Tanzania Nina nywele zenye asili ya unjano njano. Msaada wa dawa au ushauri wowote

    Nikupe tu siri asilimia kubwa ya watu weupe hizo ndo nywele zao ila kasupablack kanahisikaga sana chunguza uje ulete mrejesho
  6. MRJ TLS

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Lemutuz walikataa kumsamehe baba yao...

    Tupe link boss tuisome
  7. MRJ TLS

    JamiiForums Tanzania Nimewekeza Milioni tano, faida napata laki 6, ni sahihi?

    Utatoboa hivi jamn biashara tunazichukuliaje hakuna easy way broo biashara ni hatua
  8. MRJ TLS

    JamiiForums Tanzania Aina za Uchawi wa Kisambaa

    100%
  9. MRJ TLS

    JamiiForums Tanzania Tunaomiliki usafiri na kukerwa na ambao tunawabeba lakini hawabebeki

    Hi dunia kwani ni yetu, Jifunze kupotezea baadhi ya mambo itakusaidia sana ulinnunu Gari lako ukijua utalimudu mwenyewe kumsaidia huyo mwamba ni kama umetoa sadaka tu. Jamn mimi ndo maana sipendi lift za watu basi tu shida zinatudhalilisha
  10. MRJ TLS

    JamiiForums Tanzania Skendo ya ushoga yamtafuna Hakika Ruben baada ya video zake kuvuja

    Wapi cocastic Tia neno
  11. MRJ TLS

    JamiiForums Tanzania Watu Weusi: Viongozi wa "unnecessary spending"

    Sorry nakupinga , hawa watu ni very economy hatari ukiona ana travel alishatenga fungu mda kwa ufupi wanafanya kile kilichopo kwenye schedule wachache wao ndo wanakurupuka
  12. MRJ TLS

    JamiiForums Tanzania Ninunue simu ipi kati ya iPhone 14 pro max au Samsung galaxy note 22 ultra?

    Nimekaa paleeee nasubiri majibu
Back
Top Bottom