Wanatakukuru,
11.09.2007
Mkurugennzi Mkuu,
Takukuru,
S.L.P 4865
Dar es Salaam
Yah: kilio cha wanakukuru tanzania
Tunapenda kuchukua fursa hii kwanza kukupongeza kwa kuteuliwa na kisha kuapishwa kwako kama mkurugenzi mkuu wa takukuru. Hongera sana.
Ni kwa uteuzi huo tunaamini mhe. Rais...