Recent content by MRISHO92

  1. MRISHO92

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

    Enzi za kulindana zimeisha, now ni Sheria zinafuata mkondo, hongera Wema Sepetu, lakini kumbuka ukiwa na hatia Sheria itafuata mkondo tu
  2. MRISHO92

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya UDSM vinatia aibu (95% vimeziba)

    Nenda vyoo vya msikitini, mkuu au pale department ya physical education chini ya daruso bar
  3. MRISHO92

    JamiiForums Tanzania Kaguta Museveni awasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi tena

    Mmmh tetemeko la kutengeneza??? Seriously
  4. MRISHO92

    JamiiForums Tanzania Sakata la CUF ni Cover up ya Escrow Saga?

    Hata wimbo wa salome wa mond na ray nao ni cover up, daaa yaani serikali wanajifanya wanaakili , naskia hadi pj kurudi clouds pia ni cover up
  5. MRISHO92

    JamiiForums Tanzania Sakata la CUF ni Cover up ya Escrow Saga?

    Hata kupatwa kwa jua, tetemeko la kagera, ununuzi wa ndege, ziara ya kabila yote ni cover up ya escrow
  6. MRISHO92

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afunga Maadhimisho ya Miaka 52 ya JWTZ ashuhudia Zoezi Amphibious Landing

    Hzo sio mig, mkuu ni chengdu J7 za mchina
  7. MRISHO92

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu wa Tanzania akataa kuongea na vyombo vya habari nchini Marekani

    Si wakamuulize Mahiga,si yuko huko
  8. MRISHO92

    JamiiForums Tanzania Madalali wa NHC wavamia ofisi ya gazeti la Tanzania Daima

    Walipe kodi hao, tujenge nyumba mpaya
  9. MRISHO92

    JamiiForums Tanzania Ikitokea CHADEMA wakatangaza kuahirisha UKUTA kesho, je watatoa sababu gani? Na je wataeleweka?

    Utasikia kutokana na maoni ya viongozi wa dini tumeona bora tuzungumze
  10. MRISHO92

    JamiiForums Tanzania Tumuige Maalim Seif ama Lowassa?

    Well said mkuu
  11. MRISHO92

    JamiiForums Tanzania Tumuige Maalim Seif ama Lowassa?

    Wanajenga ukuta wansahau kuanza na msingi
  12. MRISHO92

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA wachanganyikiwa ambapo wamepanga kujibu mapigo ya CCM

    Utasikia wanakuja na tamko la kutomtambua Magufuli kama mwenyekiti wa ccm , wanavyopenda kick
  13. MRISHO92

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuupaisha uchumi wa Tanzania

    Inshaalah
  14. MRISHO92

    JamiiForums Tanzania Katika Bajeti ya mwaka huu wa fedha, kulikuwa na nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma?

    Unatumia nini kufikiria wew dada nyumbu?
Back
Top Bottom