Sakata la CUF ni Cover up ya Escrow Saga?

Sakata la CUF ni Cover up ya Escrow Saga?

Niliwahi leta uzi hapa JF nikijaribu kutahadharisha watu kwa kusema hili sakata la CUF kuibuliwa kipindi hiki lengo lake ni kuondoa attention ya watu kwenye sakata la Escrow ila mada yangu iliunganishwa.

JF tunajihujumu wenyewe kwani ile mada ingeachwa mtandao huu ndio ungekuwa wa kwanza kutahadharisha watu.

Hata hivyo nilikuja kuirudia tena mada hiyo na ikaachwa:


Hii ni moja ya agenda iliyo nyuma ya kuibuka upya kwa mgogoro wa CUF kipindi hiki
Kweli mkuu, fikra zetu zimejikita zaidi kuwa serikali inataka Ukawa ikose nguvu na Zanzibar ipotee. Lakini mbinu za maswala nayo ya long term plan yanaenda kimya kimya kwani hayana haraka.
Why now mpaka fujo, ulinzi wa polisi kwa Lipumba, Msajili kuingia mzima mzima katika suala ambalo ni dogo kabisa kutatulika ndani ya chama na matamshi mengi?
Hii chenga ya mwili, mpira anao IPTL gizani goli likifungwa na refa (msajili) akiondoka uwanjani ndio tutastuka
 
Hata kupatwa kwa jua, tetemeko la kagera, ununuzi wa ndege, ziara ya kabila yote ni cover up ya escrow
 
Sakata la CUF ni cover up ya Richmond
Richmond ilishapita na utaahira wa bunge letu kipindi kile likashindwa kutekeleza maazimio ya Kamati na sasa tunaitumia mitambo hiyo hiyo ya Wamarekani kwa kulipia mapesa kibao. Viongozi wetu wamerogwa Lupeye siwaungi mkono katika hizi Saga kabisaa..
 
Tanzania shamba la nghaliba tunaibiwa kila wakati.Singasinga Seth ameisha aandaa deal jingine IPTL sisi tuko na Lipumba
 
Hata kupatwa kwa jua, tetemeko la kagera, ununuzi wa ndege, ziara ya kabila yote ni cover up ya escrow
Ongeza na CHAUMWA na Hashim rungwe kuhamia UKAWA,SCORPION kutoboa macho,washabiki wa Simba kuvunja viti na uharibifu uwanjani, zooote ni coverups.
 
Kweli mkuu, fikra zetu zimejikita zaidi kuwa serikali inataka Ukawa ikose nguvu na Zanzibar ipotee. Lakini mbinu za maswala nayo ya long term plan yanaenda kimya kimya kwani hayana haraka.
Why now mpaka fujo, ulinzi wa polisi kwa Lipumba, Msajili kuingia mzima mzima katika suala ambalo ni dogo kabisa kutatulika ndani ya chama na matamshi mengi?
Hii chenga ya mwili, mpira anao IPTL gizani goli likifungwa na refa (msajili) akiondoka uwanjani ndio tutastuka
Mkuu, hii habari imeandikwa katika gazeti la Rai tena sio kwa mtindo wa swali bali inasomeka "CUF yaficha Escrow".
 
Ndio zungusha akili, kumbe hata Sakaya haelewi kinacho endelea. Usicheze na mbinu za serikali inapoamua kuficha au kuua soo.
Jiulize kwa nini nguvu kubwa ilitumika kwa babu wa Loliondo?
Kitengo kiko kazini huku watu wanashikana uchawi
Kwa jinsi mlivyochanganyikiwa kwa sasa ni ngumu kweli kuwaeleweni maana hata nyie hamjielewi. Laana ya Dr. Slaa itawasumbueni mpaka msambaratike.
 
Wewe ni wale wanapeleka kikombe kila jioni na kuulizwa umepata likes ngapi? Watu hawana chanjo, akina mama wajawazito wanaambiwa mara Amana mara Muhimbili na mpaka sasa hakuna chanjo wakati inabidi tulipe hizo pesa za Tannesco?. Mwenzetu wewe ni waziri nini? Mbunge? Katibu mkuu wa wizara au upo kwenye mapesa ndo maana hujui shida za sisi walala hoi?
Yaonyesha wewe watoto wako hata kama ni ****** wamepewa kazi wakati watoto wetu wametoka na Upper Second tena kwenye BSce bado wanahaha mitaani. Sisi ambao watoto wetu tumebeba mpaka madawati kupeleka shule za kati ili watoto wetu wasome unakuja na majibu ya bavicha? Hivi kila member humu anayetoa wazo la kukosoa serikali ni bavicha? Hujui kama kuna watu hata hayo masanduku ya kura tuliyaacha tangu zama za Nyerere za kupigia picha jembe na nyumba na giza? Wewe kama umezoea kula makapi kula sisi tunalilia haki yetu kama walipa kodi. Tunalipa kodi mnaofaidi ni nyinyi mnaokuja kuleta bezo humu. Mwenzetu tunajua ukiumwa utapelekwa na ndege ya rais Ujerumani mnakokunanga kama alikoenda Mzee Sitta na siyo India. Mbona sijasikia mnaenda China kama kweli mnawathamini wachina? CUF ni mkono wa chukua chako mapema na vibaraka wao ambao wengine wamehama nchi na kuwa wakimbizi wa ihari.

Kwa jinsi ya ulivyoandika hapo juu wewe ni bavicha mchanga. Hujakomaa kama kina Salary Slip Ben Saanane, Chakaza, BAK, The Boss na wengine.
 
Kwa jinsi ya ulivyoandika hapo juu wewe ni bavicha mchanga. Hujakomaa kama kina Salary Slip Ben Saanane, Chakaza, BAK, The Boss na wengine.[/QUOT Nimeingia siasa 1967 kabla ya hao unaowataja. Nimekula chakula na mwalimu kijijini kwetu nikiwa TYL unasemaje? ningekuwa kwenye tv ningevua ngup kama watoto wa SA ili ujue ninavyosikitika.
Unaniambia bavicha? Shame on you hata hao waliokutuma watakuruka mbele yangu. By the way ndyo wewe ulikuwa unataka kukutama mimim? Ip yako na ya esrow nimezijua zinatokea wapi. Stay tuned.
 
Siyo sakata la esrow tu, Bali hata kutuondoa mawazo kwenye mgogoro wa uchaguzi wa zanzibar. Serikali imeshikwa pabaya. Hivi unafikiri watanzania ni mbumbu kama munavyofikiri?
 
Imeelezwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa mgogoro wa CUF kuchochewa ili kufunika fikra za watu juu ya sakata la Escrow lililo rudi kwa kasi kubwa.
Ni ukweli kuwa nchi yetu kukiwa na jambo lisilo na majibu kinazushwa kitu kuchota mawazo ya watu na kusahaulisha jambo la msingi.
Jee tukifikirisha akili zetu hili laweza kuwa kweli?
Source; magazeti ya leo
Iko hivyo , kwa vile dunia nzima inajua Msaliti lipumba atashindwa na ataaibika , lakini unashangaa kisa cha kulala ofisini huku akijua kishatimuliwa ni nini ?
 
Huko ndiko kwa wanyonge wake kwa kujikusanyia points ili aendelee kuwazuga wenye akili ndogo lakini mapapa ya mafisadi anaendelea kuwaogopa kwa kujua fika naye pia ataumbuka.

Hapo kweli escrow inakwepeshwa hapo pia Lugumi ambazo kweli JPM ameziogopa kabisa kuzigusa! IPTL,Escrow....Lugumi anawaweza wale wakagua mizigo pale terminal 1
 
Hata wimbo wa salome wa mond na ray nao ni cover up, daaa yaani serikali wanajifanya wanaakili , naskia hadi pj kurudi clouds pia ni cover up
 
Hata wimbo wa salome wa mond na ray nao ni cover up, daaa yaani serikali wanajifanya wanaakili , naskia hadi pj kurudi clouds pia ni cover up
Sio kila aliyevaa tai yuko timamu kichwani
 
Kwahiyo unataka kusema kua sakata la UKUTA ni cover up ya deni la mwenyekiti?
 
Back
Top Bottom