Recent content by mrigoj77

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ngazi kipandio kisichoheshimiwa na baadhi ya wasiojitambua

    Inatakiwa akili kubwa kumwelewa mshana Jr
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nyama choma bila pombe!? Pombe bila nyama choma!? No please..!

    Kukuelewa ww inabidi mtu atumie akili ya ziada
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Weka namba yako ya simu ili mawasiliano yawe rahisi zaidi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza na kununua unga majani ya Mlonge

    Dar ni kubwa sana tuambie ni sehemu gani hapa dar na ilkiwezekana weka pia mawasiliano yako kwani itapendeza pia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu the future is not exciting, ogopa sana kuweka hela MPESA ni matapeli

    Kulikoni mbona kila mtu anasema vodacom,matatizo yao ni kidogo sana na ukitoa shida yako inasikilizwa na kupewa jibu muafaka na kama unaona hutendewi haki inabidi ujitahidi uende yalipo makao makuu yao
  6. M

    JamiiForums Tanzania Lipa kwa M-Pesa. Anguko/sio anguko la Ajira?

    Ndugu,huduma ya mawakala itaendelea kuwepo kwani lipa kwa m pesa ni kwa ajili ya kununulia na kulipia huduma tu.Hivyo kwa upande wa kutuma na kupokea pesa huduma hizi zitaendelea kuwepo tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nimejikuta nimeoa mke aliyepitiwa na wengi

    Siku zote usipende kufukua makaburi ili kujua kilichomo ndani,je ww ukiambiwa toa historia ya wapenzi wako utakubali?.Kumbuka pia pale unapoanza mahusiano,mambo ya nyuma yote usiyasikilize wala kuyapa nafasi kwani ukiyasikiliza na kuyapa nafasi mnaweza mkagawana majengo ya serikali na mpendwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kulikoni wanaume wa miaka hii mmekuwa wadhaifu namna hii?

    Lazima tuheme kwani k zenu nazo kubwa kama lambo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume unene sio mzuri kwenu. Kwani ukinenepa sana matokeo yake ndo unabaki na kibamia

    Acha kudanga ww inaonekana ww unavuliwa sana pichu
  10. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Jaji Mstaafu Robert Kisanga afariki dunia

    6tdc.ex xmjumujmy
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana vijana wetu waliokufa Congo ni kutokana na kutokuwa na uzoefu wa kutosha wa vita?

    R.I.P mashujaa wetu kwani amani tuliyonayo inachangiwa sana na uwepo wenu,yatasemwa mengi sana na hakuna kifo kisichokuwa na sababu.Sisi sote ni waja wa mwenyezi mungu kwani kwake tulitoka na kwake tutarejea
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Dr. Baki wa Burere Hospital afariki dunia

    Mwenyezi mungu ni mwema kwetu tangulia dokta sisi tupo nyuma yako tunakuja
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tuwaulize Viongozi hawa vimbelembele (wanaa) mashuleni "wapo wapi saa hizi?"

    Kwa akili yako ni kwamba kila anayepata div 0 atakuwa jeshini,ebu badili akili yako hiyo jeshini sio mkusanyiko wa div 0
Back
Top Bottom