Recent content by mrere

  1. mrere

    Kusafirisha mifugo (mbuzi/ng'ombe) Iringa to Dar

    Tupeane machimbo ambayo mbuzi wanapatikana
  2. mrere

    Msaada: Nataka kupima/kujua uzito wa nguruwe bila kutumia mizani

    Kipimo ni kwa mita kaka sio sentimita . mfano mzingo wa kifua 1.27(M) na urefu 1.02(M). Uzito = (1.27*1.27)*1.02*69.3 jibu linakuwa ni Kilo 114
  3. mrere

    Msaada: Nataka kupima/kujua uzito wa nguruwe bila kutumia mizani

    Ndio kwa kuwa kipimo ni kwa mita hivyo futi kamba ya kawaida inafaa
  4. mrere

    Msaada: Nataka kupima/kujua uzito wa nguruwe bila kutumia mizani

    Hiyo unapata idadi ya Kilo za nguruwe kabla hujamchinja
  5. mrere

    Msaada: Nataka kupima/kujua uzito wa nguruwe bila kutumia mizani

    Uzito = Girth(M)*Girth(M)*Length(M)*69.3 inakuwa na uhakika kwa asilimia 95
  6. mrere

    GE2020 Nini kitangulie, haki au amani?

    Ili amani iwe ya kweli ambayo haina unafiki basi ni lazima haki iwepo. Kama hakuna haki, hakuna amani ila ni utulivu wa muda tu.
  7. mrere

    MSIBA: Nimefiwa na Mama yangu mzazi

    Poleni sana kwa msiba
  8. mrere

    Tanzia: Prof. Lwambuka afariki Dunia

    Unamkumbuka vizuri sana na mambo ya zero member. RIP Prof
  9. mrere

    Swali kwa Wanaopinga Mwendo wa Magufuli na Serikali Yake

    Umeandika kitu cha maana sana sio hawa jamaa wanashangilia tu bila kufikiri
  10. mrere

    Mwezi mmoja tangu achaguliwe, Wana Ubungo wameshamchoka mbunge wao Saed Kubenea

    Kuwa na uwezo mdogo ni shida sana.
  11. mrere

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nipo Nansio shule ya msingi tunaweza kubadilishana. kama poa nipm namba yako
  12. mrere

    Lowassa: Wafanyakazi mkinichagua nitapunguza P.A.Y.E kutoka 18% mpaka 9%!

    Mshahara wako ni shiling ngapi? acha utoto
  13. mrere

    Makosa waliyofanya Wapinzani kwenye Mchakato wa Katiba

    Nashindwa kuelewa huwa unafikiria kwa kutumia nini.
Back
Top Bottom