Recent content by mrengo wa kushoto

  1. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania William Ruto avunja Baraza la Mawaziri Kenya

    "To be an enemy of the US is dangerous, but to be a friend is fatal" Henry Kissinger
  2. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    Tafadhali, Rejea kwenye kiambata.
  3. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu huenda yuko sahihi, Walimu Wana Nini?

    Kuna huu uzi hapa JF....Nadani tuupitie pia. https://www.jamiiforums.com/threads/mshahara-wa-mwalimu-unavyotafunwa-cwt.2048942/
  4. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu huenda yuko sahihi, Walimu Wana Nini?

    Wenye Bank yao wamesha badilisha upepo wa mada ili madudu yasijulikane wazi......Itakuwa wapigaji niwenyewe halafu waaliimu walivhangishwa muda mreefu kuanzishwa na kuifanya Bank isimame. Kumbe wanapigwa tu maskini. Kwanini hawajifunzi kilakitu wanalazimishwa na kutishiwa kuchangia nawao hata...
  5. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Tanzania Familia yangu ina ukaribu sana na EX wangu kuliko mke wangu jambo ambalo ndoa yangu imeanza kuwa na misukosuko

    Mwanamke wakao angalia asije kuwa mpumbavu. Maana mwanamke mpumbavu huvyunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Akae atulie maadam upo na unamsimamo kwake kwamba ndiyo mke wako ho wengine wanachezea mida wao tu. Azidishe mapenzi asiskiloze wala kuangalia na kutilia maanani kinachotokea hata...
  6. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Tanzania Ukizaa na mume wa mtu, jukumu la kulea mtoto ni lako mwenyewe!

    Nawezaje kumchukua mtoto wangu ambar nina muhidumia lakini mama mtoto hataki kunipa nikae naee??
  7. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Tanzania Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

    Hata akiwa na elimu au uwezo wa namna gani kama mwanamke hajielewi hamna kitu hapo..
  8. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Tanzania Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

    Dini haifanyi mtu kuwa na ndoa nzuri au mbaya ni watu wenyewe. Dini zipo kutuelimisha na kutuonyesha njia. Iwe ya kiislam mali ulizo chuma na mume akiondoka wapewe wajomba na watu wengine ambao hawajui hata historia na mliyopita kuchuma hizo mali nyie mkiachiwa kasehemu kadogo au. kuongezewa...
  9. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Tanzania Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

    Siyo kwamba niimani kwamba utakufa mapema..Ni insurance incase ikitokea. Kumbuka karma yekesho inaundwa na maamuzi, matendo yetu ya leo.. Kama akizulumiwa ni kwamba kuna sehemu ulikosea wewe, karma haikosei.
  10. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Tanzania Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

    Hili ni gumu sana kwa sasa..Wazazi hawaishi sana na watoto kama ilivyokuwa huko zamani .Kwahiyo anaweza kuwa na mtoto lakini asimfahamu tabia yake ya kweli akiwa nyumbani na maeneo ya nyumbani ana act tu
  11. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Tanzania Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

    Kwa upande wangu nimekubaliana nalo kabisa kwasababu akili yangu nimeiweka kwamba yotehayo anafanya kwa maendeleo yetu hata kama ni kidogo anachochangia kwakungu inaonesha ni jinsi gani anajitoa siyo kwa maneno tu bali kwa vitendo kwangu mimi, watoto na ndoa yake. Kuna vitu huwezi kununua mkuu...
  12. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Tanzania Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

    Sawaaa....lakini kama hamjafunga ndoa nani atakuwa msimamizi wa malinza watoto ukiwa haupo?? Kaka?, Dada?, Mjomba? Watoto wako watakuwa hawana chao na mama atakuwa hana nguvu ya kuwapambania. Tuangalie mbali zaidi ya tamaa zetu
  13. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Tanzania Malezi Duni na Utandawazi ndio Chanzo cha ongezeko la mijadala ya kupinga na kukosoa ndoa na maisha ya ndoa

    Mimi mke wangu hata asipogusa chochote kama housegirl yupo na kufanya kazi yake vizuri, nitampongeza mke wangu kwa kusimamia vizuri huyo housegirl. Mwanaume ni kichwa cha familia mwanamke ni mwili.. Mwanaume (Kichwa) hufikiria, kuweka mipango na kutafuta njia.. Bila mwanamke (mwili) thabiti...
Back
Top Bottom