Huwezi kua serious... cjawahi kusikia mwalim wa mathematics kakosa ajira. Au unatafuta hapo kjjn kwenu tu?hzi fedha za bundle kila siku ni mtaji tosha .
Wengine wanakuwa wametendwa sana anaamua kutafuta maisha yake na hawana imani na wanaume ndo maana wanaamua kuishi hivo..msiwalaumu sana coz sio kila MTU amepangiwa kuoa au kuolewa
Kosa lako ni kwenda kwa Mariana ukifikiri ndo suluhisho...hicho ulichopata kitaishia kwa Mariana yy hatakusaidia hata kidogo.ukiona mwanamke Yuko na ww na anajua ww ni mume wa MTU ujue kafata pesa tu hapo na zikiisha ataenda kwa mwingine mwenye nazo. Msamehe mkeo mlee watoto katika maadili mema.
Mi nafkiri ww ndo unakosea unapoaproach;unajinad kuwa mambo safi hvo lazma wakuombe pesa.mfate mwanamke ukiwa ww,usipende maisha ya kuigiza.wanawake wasiomba pesa mbona wapo.sio kla mwanamke ni tegemezi wengne wanajitegemea kwa kla ktu.
tatzo ni kwamba hawa waalimu walifurahia kurudi makwao kabla ya kujua hatma yao mapema..sasa ukiambiwa hujafanya kaz kwa hyo hutalipwa utalalamika?na utafuatiliaje tatzo lako ukiwa nyumbani?ni vema mkaenda mlikopangwa kufuatilia la sivyo mtaishia kulalamika jf .
ushawahi kumuona huyo mamamkwe?? Una uhakika kuwa anaumwa kweli? Jaribu kuwa na uhakika kabla ya kutuma pesa kiholela ..c unajua hapa mjn twasaka hela?? Honestly nachukia sana hii tabia ya wakwe kupenda kuwa tegemezi.
kama umepata mkopo nenda kasome ukimaliza utapata ajira tu na sio lazima urudi serikalin ,hzo pension mnazojidanganya nazo hata private school zipo...au unasubr had serikal iwarudishe kufundisha primary
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.