Kutoa mahali ndio nini tena mkuu!Inamaana hata siku ya kwenda kutoa mahali utakuja kuuliza kama utoe au usitoe? BTW,kutoa ni moyo, toa kulingana na uwezo wako, kuwa sehemu ya msada sio mbaya.
Habar wa wanajf, mimi kuna mschana nimetokea kumpenda anaishi dar na mm pia naish dar,ila yy wazaz wake wako masasi mtwara;Sasa yeye kawambia ndugu zake wote kuwa kapata mchumba,sasa mama yake na huyu msichana ananipigiaga cm mara kw mara, sasa leo mama yake kanipigia cm kuwa anashida ya pesa eti tumbo linamuuma,je nimtumie au nifanyeje?naomben ushaur wenu wana jamvi
Makubwa mmmh
ule uzi wa OKWI UMEFUTWA MMH mods bwana
ulitaka uendelee
ushawahi kumuona huyo mamamkwe?? Una uhakika kuwa anaumwa kweli? Jaribu kuwa na uhakika kabla ya kutuma pesa kiholela ..c unajua hapa mjn twasaka hela?? Honestly nachukia sana hii tabia ya wakwe kupenda kuwa tegemezi.Habar wa wanajf, mimi kuna mschana nimetokea kumpenda anaishi dar na mm pia naish dar,ila yy wazaz wake wako masasi mtwara;Sasa yeye kawambia ndugu zake wote kuwa kapata mchumba,sasa mama yake na huyu msichana ananipigiaga cm mara kw mara, sasa leo mama yake kanipigia cm kuwa anashida ya pesa eti tumbo linamuuma,je nimtumie au nifanyeje?naomben ushaur wenu wana jamvi
ushawahi kumuona huyo mamamkwe?? Una uhakika kuwa anaumwa kweli? Jaribu kuwa na uhakika kabla ya kutuma pesa kiholela ..c unajua hapa mjn twasaka hela?? Honestly nachukia sana hii tabia ya wakwe kupenda kuwa tegemezi.
Tunatofautiana makabila,wengine wanapima kwa njia hiyo una upendo kiasi gani kwa wazazi wa huyo binti,isije ikawa umependa tunda na si mti wake.Kwa hiyo we tuma kuonyesha upendo hata msichana mwenyewe atakukubali.