hebu niambieni
1. Kwa nini wazungu na hususana wa Ulaya hawapendi na hawana jazba na mambo ya dini?
2. Kwa nini Ukristo na hususan Ukatoliki hauna nguvu Ulaya?
3. Kwa nini Wazungu hawana muda na mambo haya? kwa nini sisi yunaendekeza.sana haya mambo? je yana mahusiano yoyote na maendeleo?
Dunia ya leo na morality wapi na wapi? wanawake wana ji pimp left centre and right. Sasa kajidhalilisha vipi kusema anavyojiskia? ahe juat expressed an opinion na sidhani she cares really. Its her life let her live the way she feels it right.
hatupunguzii kitu sisi wengine
nashkuru kwa prologue sasa naomba unijibu kwa kiundani hayo.maswali yangu.
Mimi.nilikuwa.sielewi.inawezekana vipi.posters wenye kumwaga issues za kila.namna kama akina mkandara, mwanakijiji, Pasco,Lemutuz ambaye aliwahi kuokoka, woooote huungana kwa.kila.mada lakini ikija sualamla udini...
Pasco na Yericko
hebu niambieni
1. Kwa nini wazungu na hususana wa Ulaya hawapendi na hawana jazba na mambo ya dini?
2. Kwa nini Ukristo na hususan Ukatoliki hauna nguvu Ulaya?
3. Kwa nini Wazungu hawana muda na mambo haya? kwa nini sisi yunaendekeza.sana haya mambo? je yana mahusiano...
sasa tatizo ni nini? kosa lake kusema ukweli au viranja mko bize kuangalia nani anaishi vipi?
tofauti ya huyu na wengine ni kuwa kaamua kuji re invent angefanya kijisafari akatoka nje ya nchi maana naona hupenda kupiga picha na wana diaspora wanaorydi bongo. Angeenda kutengeneza meno etc...
cha ajabu mbona Kanisa na Ukristo Ulaya hauna nguvu ??? ina maana kuna kitu wazungu wameshtuka au?
kwa.nn wazungu hawana jabza ya udini kama.sisi hapa.bongo?
JK alisema serijali yake ni sikivu na kila data zitakuwa kwenye mitandao na open fro scrutiny. kwa nn nie de physically utunishi wakati hizi ni public records?
Hivi kuna mtu anajua serikali ya nchi hii imeajiri wati wangapi in total?
je bill ya serikali kulipa hili jeshi la wafanyakazi kwa mwezi ni kiasi gani?
Mishahara hiyo inachukua kiasingani from public expenditure?
je kuna mikakati gani ilifanywa ku reform civil service ya nchi hii??
labda tungejiuliza tangu lini BAKWATA ambayo ni NGO kama NGO zingine za kidini ikawa na mandate ya kuwa mzungumzaji wa waislam wote?
TEAM MEMBE jipangeni upya. BAKWATA inawakilisha viongozi wao na si waslam wote tanzania au bagamoyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.