Swali kuhusu Civil Service ya Tanzania

Swali kuhusu Civil Service ya Tanzania

MrBills

Member
Joined
Mar 24, 2015
Posts
15
Reaction score
13
Hivi kuna mtu anajua serikali ya nchi hii imeajiri wati wangapi in total?

je bill ya serikali kulipa hili jeshi la wafanyakazi kwa mwezi ni kiasi gani?

Mishahara hiyo inachukua kiasingani from public expenditure?

je kuna mikakati gani ilifanywa ku reform civil service ya nchi hii??
 
Watembelee mngt ya utumishi wa umma na hazina to get more clarification
 
JK alisema serijali yake ni sikivu na kila data zitakuwa kwenye mitandao na open fro scrutiny. kwa nn nie de physically utunishi wakati hizi ni public records?
 
Back
Top Bottom