Recent content by Mra Eliphas

  1. M

    JamiiForums Tanzania Alexander Mnyeti kuburuzwa Mahakamani ni ushindi kwa wapenda haki Tanzania

    Dua za kuku hazimdhuru mwewe, huyo Mnyeti alikuwa mtu mbaya sana, anavuna alichopanda, hujitambui wewe.
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: CCM mwaka huu itavunja rekodi kwa kupata ushindi mkubwa wa kihistoria kwa sababu tunashindana na vyama dhaifu sana!

    Bashiru unaota mchana, jiaandae kuomba kurudi chuo kumfundisha maana baada ya ushindi wa Lissu najua utatimuliwa ukatibu mkuu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania DC Muro matatani kwa deni la miaka mitatu

    Huyu ni TAPELI tangu mwanzo. Aliwahi kuwa na kesi kubwa tu Mahakama ya Kisutu kwa kumtapeli mkurugenzi wa halmashauri moja, alishinda kesi technicality tu, lakini ni TAPELI.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Kaimu Mkurugenzi Rubada italeta kilio kwa wengi

    Sasa mbona Kuna wahujumu uchumi wengine waliiba pesa nyingi kuliko yeye lakini wameachiwa huru kwa kulipa pesa walizoiba? Kwa hiyo Kuna udouble standard , nae angepewa fursa ya kukiri kuiba na arudishe pesa alizoiba aachiwe huru, vinginevyo hiyo Sheria ya kukiri kuiba na kurudisha pesa Ife iwe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Nani amekuambia kwamba Chadema mwishowe huwa hawashindi? Ukweli ni kwamba Chadema huwa wanashinda lakini nyie maccm kwa kushirikiana na Time na Polisi unadhulumu ushindi huo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais awasamehe Makamishina walioshirikiana na Kangi Lugola uliokuwa na viashiria vya ufisadi

    Raisi ameonyesha wapo watu wa kupelekwa mahakamani wanapofanya uhalifu na wapo watu ambao hata wakifanya uhalifu mkubwa kiasi gani kwa amri yake hawatashitakiwa, hii inaitwa DOUBLE STANDARD.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kuhusu maendeleo ya Mbowe

    Mungu amponye haraka. Amen
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa Rais Magufuli aongezewe muda madarakani?

    Wewe hujitambui, huyo bwana kaandika uchambuzi wa kiwango cha juu na ni ukweli mtupu, nakushangaa ww umepost 0 hapa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa Rais Magufuli aongezewe muda madarakani?

    Ndugu yote uliyoandika ni sahihi sana. Ndugai hakustahili kuwa spika kabisa, ni mvunjifu wa katiba, amekuwa dhaifu sana kiasi kwamba badala ya bunge kuisimamia serikali, serikali ndiyo inalisimamia bunge kwa mkono wa chuma. Yaani Nyerere angefufuka akaona mambo ya hovyo anayofanya spika huyu na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Siku ya 4 baada ya Mbowe kushambuliwa; Siyo Lipumba au Mbatia ni kimya kizito

    Ni zaidi ya ukweli, asante.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Septemba 7: Lissu njoo na dereva wako ili ahojiwe na Polisi

    Wewe ni mlevi wa changaa ndio maana umeandika upuuzi hapa, idiot.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dkt. Kalemani alipokuwa ofisi za TANESCO - Geita alivaa barakoa na alipoenda kanisani kujumuika na Rais Magufuli akaivua?

    Mungu hana muda wa kupoteza kwa wajinga wasioweza kujisaidia halafu wakaomba kwa sala kwa huyo mungu. Wewe jipe moyo tu, utazikwa na watu 10. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dkt. Kalemani alipokuwa ofisi za TANESCO - Geita alivaa barakoa na alipoenda kanisani kujumuika na Rais Magufuli akaivua?

    Wamejiaminisha kwba corona ni sawa tu na Surua ama Ukimwi. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu achukizwa na wapelelezi wanaokamata mtuhumiwa kabla ya kukamilisha upelelezi

    Your Lord, sasa kilichobaki ni mahakama ku-strike out mashitaka yote ambayo hayana mashiko kwa kisingizio cha "upelelezi haujakamilika", ndio utaeleweka. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom