Recent content by mr_yoo

  1. mr_yoo

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa kutisha ambao ungejulikana ungeiacha dunia mdomo wazi kipindi cha Mwinyi Ally Hassan

    Huo ubuyu ni standard geji kabisa[emoji28][emoji28]
  2. mr_yoo

    JamiiForums Tanzania Imekuaje Tundu Lissu ameumia zaidi mguu wa kulia hali ya kuwa alishambuliwa upande wa kushoto

    Mkuu jambo hili analijua aliyeumba miguu iwe na uwezo wa kupishana.
  3. mr_yoo

    JamiiForums Tanzania Haki za kisheria za Ruge Mutahaba wa Clouds ni zipi baada ya kurekodiwa akilia kwenye simu?

    Jiamini ww mwanamke usimpe nafasi ya kumuamini hata chembe maana wanahuruma sana anaweza kumhurumia yeyote
  4. mr_yoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanyeje huyu binti wa mkoani? Kaniomba nimtumie nauli aje, baada ya kumtumia kanichenjia!

    Tatizo umemtafunia karanga [emoji28][emoji28][emoji28]
  5. mr_yoo

    JamiiForums Tanzania Makosa kwenye kuaply mkopo

    Nina ndugu yangu amehitimu kidato cha sita ila kuna mtu mwingine amejisajili kuomba mkopo kwa kutumia taarifa namba yake ya kidato cha nne kimakosa na akaachia usajili katikati baada ya kukosea hivyo huyu ndugu yangu kila akijaribu kuaply anaambiwa umeshasajiliwa. Tafadhali naomba ushauri nini...
  6. mr_yoo

    JamiiForums Tanzania Uono hafifu.

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, Tatizo langu ni kwamba uono wa macho yangu unazidi kupungua siku hadi siku na wakati mwingine kukiwa na jua ndo siwezi kabisa kutambua kwa ufasaha kitu kilichopo umbali wa mita 20. naombeni msaada wenu wana jukwaa iwe ni ushauri au tiba mbadala...
  7. mr_yoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui nimeathirika na Nyeto au La !

    Iambie nyeto chukua time ili uwe free mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mr_yoo

    JamiiForums Tanzania Kazi gani zinazolipa TZ?

    Broker inalipa ukiwekeza mda wa kuyosha
  9. mr_yoo

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Hiyo post ni kwaajili ya under 18 maana mimi nikiwa na stress hua nafurahishwa na kucheki soka na kupata Dili jipya
  10. mr_yoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zijue faida 5 za kulala uchi (naked)

    Ukilala uchi ni rahisi sana kuruhusu majasusi kudukua taarifa zako za ndani kirahisi[emoji12]
  11. mr_yoo

    JamiiForums Tanzania Harmonize huna kipya cha kuwapa mashabiki, umeshakuwa mzigo jifunze kwa wenzio

    Akutukanaye hakuchagulii tusi sisi tulio wadau wa muziki tunajua ile style ya kulalamika ndo hua inakonga nyoyo kinoma
  12. mr_yoo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume anapiga masturbation, hanipi mimi mke, nifanyeje?

    Hebu jaribu kusemezana naye sababu za yeye kupiga puli then fanyia kazi mrejesho atakaokupa, Matokeo utayopata naamini utanipenda
  13. mr_yoo

    JamiiForums Tanzania BASATA, Wimbo wa Diamond unahamasisha Kuzuia Kampeni Halali ya Kitaifa Afungiwe

    Mkuu kama ni insha una 03%
  14. mr_yoo

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuwa member wa Illuminat

    Fanya kazi acha ujinga ww
  15. mr_yoo

    JamiiForums Tanzania Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

    Dont be too much optimistic[emoji109]
Back
Top Bottom