Recent content by Mr_Uronu

  1. Mr_Uronu

    JamiiForums Tanzania Dai la mafao NSSF, tumshauri mwenzetu

    yeah sure, ahsante
  2. Mr_Uronu

    JamiiForums Tanzania Dai la mafao NSSF, tumshauri mwenzetu

    kweli kaka lakini kwa sasa yupo serikalini na anahudumiwa chini ya mfuko wa PSSSF.. NSSF for private sector PSSSF for Government sector
  3. Mr_Uronu

    JamiiForums Tanzania Dai la mafao NSSF, tumshauri mwenzetu

    Kama Nilikuwa member wa NSSF baadaye nikawa member wa PSSSF, nawezaje kupata mafao yangu ya NSSF hali ya kuwa nimeshaondoka huko na pesa yangu haiongezeki Wala Haina faida nami.? Kama nikitaka kuiwekeza pesa yangu kwenye mifuko ya thaman Kama vile UTT-AMIS kwa maendeleo ya wategemezi wangu...
  4. Mr_Uronu

    JamiiForums Tanzania Vita ya Kagera na Uganda haikuitwa vita ya Tanzania na Uganda?

    Kwanini Vita ya Kagera na Uganda haikuitwa Vita ya Tanzania na Uganda..?
  5. Mr_Uronu

    JamiiForums Tanzania Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

    These guys for real they are not serious..
  6. Mr_Uronu

    JamiiForums Tanzania Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Wanajamvi embu nisaidieni kuifahamu vizur QNET, leo waliniweka chemba koti na kunipa lecture yao, it was very interested but nahitaji uzoefu wenu..
  7. Mr_Uronu

    JamiiForums Tanzania Whatsssssss!!!!!!!!!????

    Wee jamaa ni shida hahahahahahahah Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  8. Mr_Uronu

    JamiiForums Tanzania Uganga na uchawi una faida zifuatazo

    Kumbe mimi pia ni mganga nicye jiamin ktk dawa zangu.. hahaha
  9. Mr_Uronu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dikteta Castro anapendwa sana?

    Umetumia kigezo gani kutuaminisha upendo anaopewa castro..
  10. Mr_Uronu

    JamiiForums Tanzania Trump azidi kukataliwa

    Kipind cha kampeni yake bwana Trump alishawahi kuckika akitamka juu ya kutawaliwa tena kwa Africa, ili mna lizungumziaje wadau..
  11. Mr_Uronu

    JamiiForums Tanzania Abiria asahau shilingi milioni 375 kwenye taxi, soma alichofanya dereva taxi

    Absolutely very correct.. Barikiwa mama..
  12. Mr_Uronu

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kwa kile kilichotokea Rwanda kwa mauaji ya Kimbari?

    KIGALI GENOCIDE MEMORIAL Part 2. Inaendelea ilipoishia Jana. ATHARI ZA MAUAJI Ndani ya makumbusho inaelezwa kwamba 75% ya watoto nchini kipindi hiko walipatwa na Trauma (ugonjwa wa kisaikolojia) either kwa wao vijana wadogo kushiriki mauaji au kushuhudia mauaji ya kikatili. Wataalam wanasema...
  13. Mr_Uronu

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kwa kile kilichotokea Rwanda kwa mauaji ya Kimbari?

    Fuatilia Part two,
  14. Mr_Uronu

    JamiiForums Tanzania Trump azidi kukataliwa

    Kama ameweza kusema kuwa Barack Obama na Bi Clinton ndyo founder wa Islamic state atakuwa mzima kweli.
  15. Mr_Uronu

    JamiiForums Tanzania Tunajifunza nini kwa kile kilichotokea Rwanda kwa mauaji ya Kimbari?

    Kiukwel inasikitisha sana..
Back
Top Bottom