Kuna comments ametoa kuhusu waafrilaRais bora kabisa wa marekani ambaye si mnafiki,ni mtu mkweli,ni nadra sana kumpata mtu km huyo...viva viva trump
Japo simsupport Trump kunafigisufigisu nyingine either zimeongezewa chumvi ama Baadhi ya Republicans wamekosa busara..
At this stage,kumtoa Trump haitasaidia hata kidogo.Bado wako kwenye lose-lose situation tu.
Unafikiri founder ni nani? Trump anasema ukweli hadi analitiza hilo ndo kosa lake tuuKama ameweza kusema kuwa Barack Obama na Bi Clinton ndyo founder wa Islamic state atakuwa mzima kweli.
Mkuu hizo ni kampeini za kisiri siri zinazo enezwa na McCain akishirikiani na Jeb Bush - wasijifanye ni wasemaji wa raia wote wa USA , kundi la McCain na Establishnent yote wanaogopa kupoteza naslahi yao ya kinyonyaji pindi Trump akingia madarakani - wapiga kura wengi wanamkubali sana Trump licha ya vyombo vya habari hasa MSM kumkalia vibaya Trump na kutoa opinion polls za kupika zenye lengo ya kuwachanganya akili wapiga kura - uzuri Wamarekani wengi wamekwisha shitukia njama hizo, wanajua watampigia nani kura ya ndiyo regardless ya opinion polls.
Kwani hiyo ni siri.Kama ameweza kusema kuwa Barack Obama na Bi Clinton ndyo founder wa Islamic state atakuwa mzima kweli.
...mkuu unataka kuniambia vyombo vyote vya habari vinatoa opinion polls za kupika?! I mean...vyote?!..
C'mon now!
Mkuu Slipup kidogo - naona nilionja one too many ya tots za Jack Daniel's Old No.7!!
Neno sahihi ni "baadhi ya vyombo vya habari" na siyo vyombo VYOTE.
Ndio kaongea ukweli ni bora trump ni msema kweki
Too much Fox News. Lkn hata nao wameshamchoka.Mkuu hizo ni kampeini za kisiri siri zinazo enezwa na McCain akishirikiani na Jeb Bush - wasijifanye ni wasemaji wa raia wote wa USA , kundi la McCain na Establishnent yote wanaogopa kupoteza naslahi yao ya kinyonyaji pindi Trump akingia madarakani - wapiga kura wengi wanamkubali sana Trump licha ya vyombo vya habari hasa MSM kumkalia vibaya Trump na kutoa opinion polls za kupika zenye lengo ya kuwachanganya akili wapiga kura - uzuri Wamarekani wengi wamekwisha shitukia njama hizo, wanajua watampigia nani kura ya ndiyo regardless ya opinion polls.
Hii kitu nimeambiwa ni kweli japo so Obama ila ilikuwa mipango ya muds mrefu ya CIAKama ameweza kusema kuwa Barack Obama na Bi Clinton ndyo founder wa Islamic state atakuwa mzima kweli.
Well said mkuuMkuu hizo ni kampeini za kisiri siri zinazo enezwa na McCain akishirikiani na Jeb Bush - wasijifanye ni wasemaji wa raia wote wa USA , kundi la McCain na Establishnent yote wanaogopa kupoteza naslahi yao ya kinyonyaji pindi Trump akingia madarakani - wapiga kura wengi wanamkubali sana Trump licha ya vyombo vya habari hasa MSM kumkalia vibaya Trump na kutoa opinion polls za kupika zenye lengo ya kuwachanganya akili wapiga kura - uzuri Wamarekani wengi wamekwisha shitukia njama hizo, wanajua watampigia nani kura ya ndiyo regardless ya opinion polls.