Recent content by mr wilehard

  1. mr wilehard

    KITENDAWILI MBEYA UNIVERSITY

    <br /> Taarifa iliyoambatana na majina ya waliochaguliwa kujiunga kwa udhamini wa serikali ilibainisha kuwa tar 18 chuo kinafunguliwa kwa masomo ya diploma ila hadi hivi sasa majina ya private sponsored students hayajatolewa huku website ya chuo ikiwa haifunguki kwa takeibani siku tano sasa...
  2. mr wilehard

    Kitendawili hiki Mbeya university of science and technology (MUST)

    Taarifa iliyoambatana na majina ya waliochaguliwa kujiunga kwa udhamini wa serikali ilibainisha kuwa tar 18 chuo kinafunguliwa kwa masomo ya diploma ila hadi hivi sasa majina ya private sponsored students hayajatolewa huku website ya chuo ikiwa haifunguki kwa takeibani siku tano sasa. Taarifa...
  3. mr wilehard

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    c and p Shambulio la Mbunge Tundu Lissu henda tukaliona kubwa sana ila kama watanzania ni waungwana tujikubushe athari ya yaliyotokea kibiti. -JUMLA YA WALIOKUFA NI ZAIDI YA AROBAINI. -Wote walikuwa ni viongozi wa serikali na chama na 17 walikuwa ni askari polisi. -wastani wa utegemezi...
  4. mr wilehard

    Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    hamna lolote ni umoja tu wa watanzania maana huwa tunaungana palipo na shida. wengi wenye mawazo hasi dhidi ya hili wanakaa kimya ili kulinda usala wao. Usizani hizo pole ni za wema nyingine ni za kuonesha tupo pamoja kimtandao tu. ninaona kabisa we ni mmoja wa wale wanoishutumu serikali juu...
  5. mr wilehard

    Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

    utoto sio umri ni uwezo wa kupambanunua mambo. umenesha kiasi fulani una dharau kwa kuwaona wadogo hawana akili au utashi wa kufanya mambo ya tofauti na ya maana. ingefaaa kama ungenikosoa kuwa nipost kitu kinachofanya nionekane mtoto. by the way hoja hoja hoja life goes on. feel free sorry...
  6. mr wilehard

    Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

    hiv maserati una akili timamu kweli tangu nimepost huna la maana ni kumtusi ndugu yangu. kumbuka leo na kesho. kukaa kimya ni vyema kuliko kuuzi watu. kwani ungepita tu usicoment ningepungua nini. Kama umesoma vitu hivi aluvyogundua mzungu ukajiona una akili sana wewe ndio zwazwa plus...
  7. mr wilehard

    Umoja wa Ulaya walaani vikali tukio la Mbunge Tundu Lissu kupigwa risasi jana

    hiv kulaani ndo unavua na nguo eeh, hiz laana sioni mantiki yake ni kelele tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mr wilehard

    Nape Nnauye: Gari lililotumika kumshambulia Lissu limewahi kuripotiwa kuwa linawafuatilia baadhi ya wabunge

    namshauri nape aende tu chadema hafai alipo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mr wilehard

    Marekani yalaani tukio la kushambuliwa kwa Mtanzania Tundu Lissu

    hahaaa nachaka sana Marekani to tanzania, pole zinaponya lakini. napita huyoooooo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mr wilehard

    Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

    Sheria za TCU namba 43 inamruhusu kuendelea ispokuwa kwa makosa ya kinidhamh Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mr wilehard

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Japo tunatofautiana kwa hoja ila nakutakia upone haraka. Addition point. Mwl Nyerere aliwahi sema "mtapata watetezi wa mabepari humu humu" Jioni tulivu kabisa[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mr wilehard

    Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

    Daah sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mr wilehard

    Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

    Ila kama una msaada nisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mr wilehard

    Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

    Of coz mi ni mhitimu wa form six mwaka huu so hyo ni dada yangu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mr wilehard

    Naomba msaada, nimedisco chuo nifanyeje?

    Wakuu poleni na majukumu. Nina ndugu yangu hapa kashindwa kuendelea na chuo mwaka ujao wa masomo, alikuwa anachukua with education MKWAWA. Matokeo yake ya kidato cha sita mwaka 2015 ni GEO B+ HIST B ECO C GS C BAM F 1.ataruhusiwa kuaply tena chuo cha serikali kwa mwaka huu wa masomo? 2.je...
Back
Top Bottom