Kwanza kabisa pole kwa wafiwa na jamaa,
Ila mi hapo kwa maoni yangu inaoneka kuna utata kwa suala hilo la kujinyonga,
Kwanza angali mwili huo ulivyo ninginia hapo, ukiusimamisha wima, unazidi urefu wa kamba,
Pia miguu inashuka chini ya msingi, hivyo mi mawazo yangu, hebu polisi wafanye uchunguzi...