Recent content by Mr.Wenger

  1. Mr.Wenger

    JamiiForums Tanzania Majina waliochaguliwa Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati mwaka 2025

    Mbona sioni kuchagua mkoa au shule ulikosoma? Hizo shule walizoenda ni ngumu kujua
  2. Mr.Wenger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu ila yupo tayari kutoka nje ya ndoa, kataa ndoa mna point 3 za ushindi

    Kuna vijana wanaamini hawawezi kuishi bila ndoa, nawashangaa sana
  3. Mr.Wenger

    JamiiForums Tanzania UTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM

    Sio meter bali ni square meter
  4. Mr.Wenger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka kumuacha mume wake wa ndoa ya miaka saba sababu si mzuri kitandani ili arudiane na ex wake

    Wenye kuona mbali walishasema KATAA NDOA, lkn kuna mazazwa bado wanatetea. Anyway mwambie huyo demu aendelee kumpiga matukio huyo boya asiombe talaka mpaka ahakikishe jamaa kaishiwa kabisa ndo amkimbie
  5. Mr.Wenger

    JamiiForums Tanzania NYIMBO ZINAZOISHI (LIVING SONGS) ZA PROFESSOR JAY.

    Prof J & Mwana FA-Jukumu letu
  6. Mr.Wenger

    JamiiForums Tanzania Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

    Unataka kusema akitoka watamroga?
  7. Mr.Wenger

    JamiiForums Tanzania Kumsimamisha Mh. Samia kugombea nafasi ya urais kutapelekea CCM kushindwa uchaguzi

    Kura haziwezi kuiondoa ccm madarakani
  8. Mr.Wenger

    JamiiForums Tanzania Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

    Umeandika vitu usivyovijua sasa kuvitetea unashindwa 😀
  9. Mr.Wenger

    JamiiForums Tanzania Nilifanya kosa la kununua mipira ya kiume, (condoms), njiani kwa matumizi ya nyumbani na mke, imekuwa ugomvi sana, nyumba haikaliki

    Kama haelewi kabisa mkubalie hicho anachosema halafu muulize anatakaje
  10. Mr.Wenger

    JamiiForums Tanzania Mikoa 10 inayoongoza Kwa Ujenzi Holela (Squatters) Kwa Tanzania

    Tanga mjini sidhani kama kuna maeneo hayajapimwa, labda Tanga vijijini huko
  11. Mr.Wenger

    JamiiForums Tanzania Hivi Hili ni mimi naliona kuhusu Dar au na wengne pia mnaona hivyo?

    Wengi wanatoka hukuhuku mikoani, kinachofanya uwaone warembo ni hayo mapambo
  12. Mr.Wenger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanang'ang'ania sana ndoa?

    Ndoa inamnufaisha zaidi mwanamke, Gharama zote za maisha anabeba mwanaume na ndo maana wanawake wanapambana sana kuipata ndoa
Back
Top Bottom