hamis77,
Hizi propaganda za kijinga tumeanza kuzisikia miaka mingi sana. Na zilitengenezwa na watu maalumu (wanaoichukia USA, ISRAEL na UKRISTO) kwa malengo maalumu, bahati mbaya kuna watu wanazishadadadia bila kujua ngoma wanayochezeshwa. Ukifatilia utaona kila tajiri mzungu hasa muamerika au...