Aise wewe sadari si mshikaji mmoja alikua anaitwa TWEVE tulikua tunapiga wote bachelor DSM, jamaa ndio alikua anajiita sadari mkuu
Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
Dah bro sasa siungesema na riba pia utatoa, mtu kutoa pesa apewe kadi ya gari na hata sio gari lenyewe badala ya kuweka pesa kwenye normal circulation mkuu, mimi umeshanikosa hapo
Ile chai mbona ilikua tamu sana, Mimi nimeinywa sana toka miaka ya 1984 kwani ndio kipindi ambacho nilikua nawai shule kama hakuna majani, mother anakaanga sukari faster kitu na box, umesahau pia ugali wa mboga ya kitunguu kitupu kinakaangwa, duh maisha haya yametoka mbali sana
Aise umesema ndichi nikajua tu lazima unatokea Mbeya, nakumbuka nilisoma na jamaa Fulani kutoka mbeya chuo kikuu haya maneno alikua akiyatamka sana ndichi, chungama, nangai, mwake bigrai na mengine mengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.