Recent content by Mr shika

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani, Msikimbie majukumu ya watoto wenu wa nje. Ukizaa jua kuna kulea mtoto

    Mkuu wanaume wanaoacha mtoto au watoto kwa mke wake aliyeolewa na mtu mwingine huwa wanakimbia majukumu ya watoto wao hao wa nje. Afu mtoto akiwa mkubwa anakuja anamchukua na kuondoka naje ili kukata connection kati ya mtoto na step father. Ndo zao hao.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kumwambia mke wangu kuwa nina mtoto nje

    Acha uhongo ni umalaya tuu
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nahitaji kumwambia mke wangu kuwa nina mtoto nje

    Mrejesho
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel: Hamas bado wana mateka 126, askari wa Israel waliokufa mpaka sasa ni 286

    Kwani hamas wamekufa wangapi. Maana nimeona sehemu wamesema wamekufa 2000. Au vipi hio
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

    Ustawi wa jamii sijui wapoje. Mimi niliona mdada mmoja hivi alilea mtoto pekeake mpk umri wa miaka 9. Jamaa alikimbia mtoto tangu mimba. Ustawi wa jamii walimpa mtoto na akatokomea nae huku mpk leo. Sijajua wanatumia vigeo gani. Tena hawakufuata utaratibu wa kukomboa mtoto. Nafikili rushwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa sheria, mgawo wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Hpn. Kwenye mali hio moja. Huyu mzee alikuwa na mali zingine tena mkewe hakuhusika kwenye hizo mali. Alikuwa ananyumba 4 ambazo waligawaana , na maeneo mawili zina maduka ( flame za maduka). Na vitu vingine. Ila hotel hii ndo ilikuwa ya mkewe. Na nyumba mbili ambazo mdogo wao alizibeba zote.
  7. M

    JamiiForums Tanzania WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Mrejesho Thread 'MREJESHO: WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?' MREJESHO: WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa sheria, mgawo wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Habari wana JF naleta mrejesho wa kesi ile ya mgogor wa urithi. Baba aliyezaa na wanawake tofauti. Baada ya kwenda mahakamani ikaonekana ilikuwa ni kampuni na si mali ya mtu binafsi. Na katika mgawanyo wa kampuni kuhusu share mke wa ndoa yani mke wa baba yao aliyezanaye mtoto mmmoja ambaye ni...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

    Hata Arnold wa terminator alizaa nje na mtoto alifanana na yeye sana. Siku moja alisema Ni kitu alijutia sana alitamani siku zirudi nyuma.
  10. M

    JamiiForums Tanzania WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Hivi unafikili mama wa huyo mtoto angekuwa hai angewapo watoto wa mume wake mali alizoangaikia yeye kama yeye binafsi????? Jibu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Mkuu nafikili hata mama wa mtoto wa mwisho nae alienda na mtaji wake.
  12. M

    JamiiForums Tanzania WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Hata mtoto hakiwa sio wa Baba kumbuka kuna Mama yek kwenye mali so atabeba za mama yake tuu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Mkuu DNA inamadhara sana usipokuwa makini ndo maana hata TZ ukitaka kupima DNA kuna mlolongo kinoma. Sio rahisi ndugu watoke uko waseme huyu hakuwa mtoto wa kaka yetu. Unakithibitisho gani. Hawakubali hivi hivi kupima DNA.
  14. M

    JamiiForums Tanzania WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Hii hotel baada ya Baba kufariki familia mzima walishindwa kuafiki kwa sababu ilionyesha ni kampuni ya mke na mume yani mama ana percentage yake na baba anapercentage yale . Ila nafikili hata wakubwa waliacha kwa sababu ya mama kumueshimu tuu.
Back
Top Bottom